• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC MLELE Alhaji Majid Mwanga akipokea Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Jamila Kimaro (2)

Posted on: August 30th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya  Mlele Alhaji Majid Mwanga akipokea Mwenge kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Mpanda  Mhe.Jamila Yusuph Kmaro 

  1. Na Kibada Ernest
     

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Mlele Katavi 

Agost 28/2023

MWENGE WA UHURU WAHITIMISHA MBIO ZAKE HALMASHAURI YA MLELE KWA KWA MAFANIKIO HUKU  MIRADI YOTE YA MAENDELEO ILIYOKAGULIWA KUWEKEWA MAWE YA MSINGI NA KUZINDULIWA IKIONEKANA KUWA NA UBORA  NA THAMANI YA FEDHA KUONEKANA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA NDUGU ABDALLA SHAIB KAIM, AKIPONGEZA KWA USIMAMIZI MZURI WA FEDHA ZA UMMA.

Mwenge wa Uhuru Umekimbizwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele baada ya kupokelewa kutoka Halmashauri Wilaya ya Nsimbo , uliweka mawe ya msingi,Miradi mitatu na kufungua miradi,Mmoja kukagua na kutembelea miradi ya maendeleo  na  miradi yote imekubaliwa na kupitiwa na kuzinduliwa na mbio za Mwenge    

Katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mwenge wa Uhuru ulikimbizwa mnamo tarehe 27/08/2023 ambapo jumla ya miradi  yenye thamani ya  Milioni 653,150,286.52  ilipitiwa na mwenge wa Uhuru.

Katika miradi mine  iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Mlele wananchi walichangia kiasi cha shilingi milioni  4.9 Halmashauri shilingi Mmilioni 114.4,  na Serikali Kuu shilingi milioni 429.5 ,wadau wa maendeleo shilinigi milioni 104.2 ambapo thamani ya miradi yote inathamani ya shilingi milioni  653,150,286.52   

Akitoa ujumbe wa Mbio za Mwenge Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2023 Ndg.  Abdalla Shaibu Kaim aliwasisitiza wananchi kuwekeza katika Elimu ili kuinua uchumi wa nchi yetu. Aidha, aliwasisitiza wananchi kuhamasika katika shughuli za kiuchumi ili kujiletea Maendeleo na kuachana na shughuli zisizokuwa na tija kama kujihusisha na kilimo cha bangi ambayo ni madawa ya kulevya

Aidha Ujumbe wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka  2023 ni “Tunza Mazingira, Okoa vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe hai na Uchumi wa Taifa”.

Awali Mwenge wa Uhuru Umeweka Jiwe la Msingi  Mradi wa vyumba viwili vya madarasa ya awali Shule ya Msingi Mgombe  uliopo Kata ya Utende Wilaya ya Mlele  Mkoa wa Katavi.

Mwenge wa Uhuru mara baada ya kumaliza mbio zake Halmashauri ya Mlele  umekabidhiwa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe tarehe 28  Agost 2023.

Mwisho


Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Abdalla Shaibu Kaim  akitoa ujumbe wa Mwenge baada ya kuweka jiwe la Msingi  ujenzi wa Vyumba viwili vya  Madarasa ya awali Shule ya Msingi Mgombe,kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya  ya Mlele mHE. Majid Mwanga, nI Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi,Teresia Irafay. Na wa mwisho ni Mbunge wa Jimbo  katavi Mhe.Isack Kamwelwe,ambapo upande wa kushoto kwa Kiongozi wa Mbio za  Mwenge wa Uhuru  Kitaifa  ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mlele Mhe, Mpinda na Katibu wa CCM Wilaya.

 Jiwe la Msingi la ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa Shule ya sekondari Uzega limewekwa na Kiongozi wa  Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023  Ndugu Abdalla Shaib Kaim tarehe 27/8/ 2023,Ujenzi wa madaras hayo ni kutokana na fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru  Kitaifa  mwaka 2023 Shaibu Kaimu akiongozwa na Mkuu wa Wilaya  ya Mlele MAJID Mwanga kukagua ujenzi wa  Barabra ya lami  yenye urefu wa kilometa  03.7 kutoka Kijiji cha Utende - Kafulu,wengine ni Viongozi wa wilaya na wananchi walioshuhudia uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara hiyo






Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa