• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC MLELE AONGOZA WANANCHI KUFANYA USAFI

Posted on: September 6th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Majid Mwanga akishikiana nan a wananchi kufanya usafi kama ishara ya kuhamasisha ushiriki wa pamoja.

Na Kibada Ernest-  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano

MKUU WA WILAYA YA MLELE AZINDUA KAMPENI KABAMBE YA USAFI WA WA MAZINGIRA 

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Majid Mwanga amezindua rasmi kampeni ya usafi wa mazingira wilayani humo huku akitoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu  katika kuhakikisha mji unakuwa safi na salama kwa afya ya wote.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo,Mkuu wa wilaya amesisitiza umuhimu wa ushirikiano baina ya wananchi na vikundi vya usafi,hususani vile vya kina mama ambavyo vimeanzishwa katika Maeneo mbalimbali kwa lengo la kudumisha usafi wa Mji na Mitaa.

Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi. Sigilinda Mdemu,Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii  Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bw.Ignas Kikwala  amesema Halmashauri kupitia Divisheni ya Maendeleo ya jamii imeunda vikundi  vya kina Mama vinavyoshughulika na usafi ili kuimarisha hali ya usafi na mazingira bora.

Ameongeza kuwa Halmashauri  imewapatia mafunzo Maalumu yaliyotolewa na  Kitengo cha Usafi na udhibiti wa taka ngumu  pamoja na vifaa vya kufanyia usafi ili kuhakikisha vikundi hivyo vinatimiza majukumu yao kwa ufanisi.

Akizungumza kwa niaba ya vikundi hivyo mmoja ya wanakikundi cha usafi  cha wanawake walioshiriki kwenye uzinduzi  huo ametoa shukurani kwa Serikali kwa kutambua umuhimu wao na kuwapa nafasi ya kushiriki katika shughuli muhimu kama hizi,wamewahimiza wanawake wenzao kushirikiana nao ili kufanikisha azma ya kuwa na Mji msafi na mazingira bora kwa afya ya jamii nzima.

                                                      .Mkuu wa Milaya ya Mlele Majidi Mwanga akiendesha trekta lililobeba uchafu wakati wa uzinduzi wa kampeni ya usafi.

.                                                                               Baadhi ya wananchi wakiwa katika harakati za kuokota taka  kufanya usafi katika  mitaa ya mji wa mlele 


 

                                                          .Wananchi wa Mlele wakishiriki katika zoezi la usafi wa mazingira kwa kuzoa taka kandokando mwa Barabara.

                                                                   (Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Mlele.)

Kampeni hiyo imepokelewa kwa mwitiko chanya kutoka kwa wananchi wa Mlele ambao walijitokeza kwa wingi kushiriki katika shughuli mbalimbali za usafi kama kufagia,kuzoa taka na kusafisha Maeneo ya masoko,kwenye makazi na barabarani

Mkuu wa wilaya pia alionekana akiendesha  trekta lililokuwa likikusanya taka hatua iliyoongeza hamasa na kuonesha mfano wa uongozi kwa vitendo.

MWISHO.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 04, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • DC MLELE AONGOZA WANANCHI KUFANYA USAFI

    September 06, 2025
  • KUU WILAYA YATEMBELEA MIRADI YA MWENGE MLELE

    September 04, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMIN YA ZIARA

    August 25, 2025
  • MAFUNZO YA NEST

    August 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa