• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC -MLELE AONYA WATAKAORUHUSU KULIMA KWENYE HIFADHI ZA MISTU KUKIONA CHA MOTO

Posted on: September 9th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filiberto Sanga akiwasilisha salaam za Serikali katika Mkutano wa Baraza la Madiwani huko akitumia nafasi hiyo kuwaonya baadhi ya watumishi wa TFS, TAWA   na baadhi ya viongozi kuzingatia maadili. Mkutano huo wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mlele uliofanyika katika ukumbi wa Maktaba Shule ya Sekondari Inyonga ulikuwa kwa ajili ya kufunga mwaka wa fedha 2021/2022 na kuanza mwaka mpya wa fedha 2022/2023

 Na Kibada Ernest Kibada –Mlele Katavi.               Septemba 9’2022

MKUU WA WILAYA AONYA WANAORUHUSU WATU KULIMA NDANI YA HIFADHI ZA MISTU

 

 Na Kibada Ernest Kibada –Mlele Katavi.               Septemba 9’2022

Mkuu wa wilaya ya Mlele Mhe. Filberto Sanga amekemea tabia ya baadhi ya viongozi na baadhi ya watumishi wa Umma wale waliopewa dhamana ya kusimamia mistu ambao ni Mamlaka ya usimamizi wa Mistu TFS na wale wa Mamlaka usimamizi   wanyamapori TAWA kwa baadhi ya Watumishi hao kujihusisha na vitendo vinavyokiuka maadili kwa kuchukua fedha kuruhusu wananchik kulima kwenye hifadhi za mistu huo ni    ukiukwaji wa sheria.

Ameyasema hayo  wakati akiwasilisha salaam za Serikali kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani  la kufunga mwaka wa fedha 2021/2022 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele uliofanyika katika ukumbi wa Makitaba Shule ya Sekondari Inyonga  Septemba 6’ 2022.

Akiongea kwa Masikitiko   Makubwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Sanga amewaasa wachunge nyendo zao wache tabia ya kuchukua fedha kutoka kwa wananchi wanaowapatia fedha ili waruhusiwe kwenda kulima kwenye maeneo ya hifadhi hilo ni kosa.

Ameeleza kuwa zipo taarifa za kutosha kuhusu  upotoshwaji  wa namna mambo yanavyoendelea hasa kulima kwenye hifadhi, ambapo mwaka huu wamekutana na mambo mengi kuhusu wale walio lima kwenye hifadhi.

Mkuu huyo wa Wilaya ameeleza kuwa   walikubaliana wale watu  waliolima mwakaj jana kwenye hifadhi za mistu waondoke bila kutoa  mazao yao,  lakini busara ilitumika ikiawaongoza  wawaruhusu wale wananchi wavune yale mazao na kuhakikisha hawarudi tena kwenye hifadhi  waondoke.

Amefafanua kuwa  kama wasimamizi wa shughuli za Serikali waliwaruhusu wale wananchi wavune yale mazao yao na waondoke kwenye maeneo yale ya hifadhi za mistu  na wasilime tena kwenye hifadhi lakini anashangazwa vitendo hivyo vinavyofanywa na baadhi ya watumishi hasa waliopewa dhamana ya uhifadhiwa mistu kuchukua fedha na kuwaruhusu wananchi walime hifadhini hicho kit hakikubaliki.

Amesema taarifa ambazo   zinaendelea kufanyiwa kazi, inaelezwa kuwa wananchi  wengi wanachanga pesa na kuwapatia baadhi ya viongozi na nyingine kuwapatia watumishi wa Serikali wakiwemo wanaohifadhi hiyo mistu ambao ni   TFS na TAWA ili kuwaruhusu kulima.

Huko  nyuma hawakubainisha hayo sasa amewaasa watumishi hao wa TFS na TAWA watunze nyendo zao.wanatakiwa kijitafakali  

Mhe. Sanga ameeleza kuwa wamepewa kazi ya kutunza mistu na siyo kuuiza wale kufanya biashara, “TAWA, TFS kaisimamieni hiyo mistu    kujifanya hamjui, mmewezeshwa kupewa magari  mazuri  ya kuwawezesha kufika huko,kwa kupita  kila eneo, watu wanaandaa mashamba na nyinyi mko ofisini    amewasihi waende kuwasimamia vinginevyo wilaya itakuwa jangwa muda si mrefu “alisema Mkuu wa Wilaya Sanga.

Kuhusu Viongozi wa kuchaguliwa hasa waheshimiwa Madiwani amewaomba washirikiane kwenye hilo wabadilike kama huko nyuma walikuwa wakitegemea kunufaika na watu waliokuwa wakilima kwenye hifadhi wabadilike waisaidie Serikali.

Amesema hawatasita kuchukua hatau stahiki hata kama ni kiongozi kwakuwa atakuwa kiongozi asiyejua wajibu wake. Ameendelea kuwasihi kuwa waendele kuwahamasisha wananchi wasilime katika maeneo ya Hifadhi za mistu.

Mwisho



Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa