• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

DC MLELE MHE.MAJID

Posted on: September 14th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Alhaji Majid Mwanga akiongea na wajumbe wa Kamati ya Afya ya Msingi Halmashauri ya wilaya ya Mlele kwenye ukumbi wa mikutano hawapo pichani. Alikuwa akihamasisha Chanjo ya Polio   

Na.Kibada Ernest –Afisa Habari Mlele.

14’Septemba 2023

MKUU WA WILAYA YA MLELE AHAMASISHA KAMPENI YA CHANJO  YA POLIO NYUMBA KWA NYUMBA.

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Alhaji Majid Mwanga amewaagiza Wenyeviti wote wa Vitongoji,na watendaji wa Vijiji kufanya   mikutano ya hamasa kuhamasisha wananchi  ili waweze kuwa na uelewa  wa pamoja na  watoe ushirikiano wa karibu  wakati wa zoezi la chanjo ya Polio litakalofanyika tarehe 21 hadi 24 mwezi Septemba mwaka 2023 kwa mikoa Sita ya Katavi, Rukwa Songwe,Kigoma,Kagera  na Mbeya.

Ametoa maelekezo hayo wakati akifungua Kikao cha Kamati ya Afya ya Msingi cha Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kilichoketi kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya  ya Mlele leo 14’Septemba 2023.

Alhaji Mwanga pia ametoa ombi kwa Viongozi wa Dini  zote wilayani humo  kuwa  siku za Ibada,   baada ya kukamilika Ibada   wawatangazie waumini wao   kuwa tarehe ya chanjo ya polio   itakuwa siku ya Alhamisi  tarehe 21-24 mwezi Septemba.

 Na  walengwa  ni  watoto wenye umri chini ya miaka minane 8 na kuendelea, hivyo wahamasishe  watu watoe ushirikiano wa kutosha,  ili  kuweza kufanikisha zoezi hilo na Halmashauri na pamoja na wilaya kwa ujumla iweze kuvuka lengo iliyojiwekea ya uchanjaji.

Aidha amesisitiza  kuwa Viongozi  wa kisiasa  watoe ushirikiano wa kutosha  kwa kushiriki nasi ili tuwe na uelewa wa pamoja ,Viongozi waendelee  kutoa hamasa kwa jamii ili wote wawe na uelewa wa pamoja kuhusu chanjo ya Polio.

 Naye Mwakilishi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,   Bahati Mwailafu ameipongeza timu ya Uendeshaji wa huduma za Afya ngazi ya Wilaya (CHMT}  Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi kwa maandalizi na hatua za haraka zilizochukuliwa baada ya kisa  kimoja cha Polio kuripotiwa hapo mei 26 mwaka huu kwa jinsi hamasa ya uelimishaji wananchi juu ya chanjo ya Polio inavyofanyika katika maeneo yote,kwa kufanya  mikutano ya hadhara inayongozwa na  Mkuu wa Wilaya ya Mlele   Mhe.Alhaji Majid Mwaga kuwaelimisha wananchi.

Akizungumza  kwenye Kikao cha  Kamati ya Afya ya Msingi ya Wilaya  ya Mlele  amesema   Kamati hiyo ina lengo la kuwahamasisha  ili waende kutoa elimu kwa jamii  na Jamii ihamasike kuhakikisha watoto wenye umri wa chini ya miaka minane wanapatiwa chanjo ya polio.

Mwakilishi huyo wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Mwailafu  amesisitiza kuwa watoto wote waliolengwa wapatiwe  chanjo  ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Polio,ugonjwa huo ambao unaathiri watoto  chini ya miaka 05 hadi 15, ambapo watoto wote wenye umri chini ya miaka 8 watapatiwa chanjo ya polio.

Kwa upande wake Mwakilishi wa TAMISEMI amesisitiza watumishi kufanya kazi kwa moyo wa upendo na kujituma hasa kwa wahudumu wa afya wawe na moyo wa kuwapenda wagonjwa maana mapokezi wakati wakija kuoata uhuduma tiba inawafanya wagonjwa wajione wamepona kutokana na mapekezi jinsi wanavyokirimiwa kwa maneno mazuri ya kutia moyo na kufariji

Teresia Irafay ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya alishukuru kwa yote yaliyoelezwa na kuahidi kuwa maelekezo yote yaliyotolewa wataenda kuyafanya kazi.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Dkt Thadeus Makwanda  ameeleza kuwa lengo la halmashauri ya Wilaya ni kuwapatia chanjo ya poilio watoto wapatao 13,658 katika vijiji vyote 18 vilivyoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

Mratibu wa Chanjo Halamashauri ya wilaya ya Mlele Haldy  Lushats akiwasilisha majukumu ya Kmati ya Afya ya Msingi ya Wilaya ameeleza kuwa ni kutoa elimu kwa Jamii.kutoa Taarifa ya Utekelezaji wa chanjo, kumsaidia Mganga Mkuu wa Mkoa na Wilaya namna ya kutekeleza chanjo,kwa mantiki hiyo kamati ya Afya ya ngazi ya wilaya ipo kwa mjibu wa sheria na ipo kusaidia upotoshaji wa baadhi ya watu kuwa chanjo zina madhara.

Kwa upande wake mwenyekiti wa Halmashauri ya Mlele Mhe.Soud Mbogo amewasisitiza  kutoa ushirikiano kuhakikisha zoezi la chanjo ya polio linafanikiwa kwa halmashauri yote ya Mlele akawataka waendelee kuelimisha jamii kuhakiksha watoto wote lengwa wanapatiwa chanjo.

“Twende tukahamasishane huko majumbani kwetu ili kufanikisha zoezi hili la chanjo ya polio kila mtoto anayesitali aweze kupata chanjo ya polio.”alisema Mhe.Mbogo.

Mwisho.

Habari kati Picha

Picha za matukio mbalimbali wakati wa kikao cha wajumbe wa Kamati ya  Afya y Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Mlele wakihasisha suala la chanjo ya Polio kikao kilichofanyika ukumbi wa Mikutano Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.











Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa