• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Diwani Cup yamalizika Mlele

Posted on: September 9th, 2023

.Mgeni rasmi katika kufunga mashindano ya Diwani Cup ,Katibu wa CCM Wilaya ya Mlele Joshua Mbwana akikabidhi zawadi kwa Kapteni wa   timu za Black Scopioni aliyeibuka mshindi katika mashindano hayo kushoto kwa mgeni rasmi ni Mlezi wa mashindano hayo Diwani wa Kata ya Inyonga Soud Mlolwa Mbogo

 

Na Kibada Ernest -Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Halmashauri ya Wilaya ya Mlele 

9 septemba 2023

Diwani cup,yahitimishwa huku Timu ya Black Scopioni ikiibuka Bingwa wa Mashindano hayo..

Michuano ya Kombe la Diwani wa Kata ya Inyonga  imehitimishwa kwa kumpata bingwa wa michuano hiyo kwa mwaka 2023 ambayo ni timu ya Black Scopion kwa mara nyingine tena kwa kuichapa timu ya Chonile Fc na kuibka Bingwa kwa mwaka 2023 na kujinyakulia kitita cha shilingi laki tatu na nusu huku mshindi wa pili akiwa Chonile FC ailiyojinyakulia shilingi laki tatu.

Michuano hiyo iliyokuwa inashirikisha jumla ya timu kumi na sita yamefadhiliwa na diwani wa Kata ya Inyonga  Mhe.Soud Mlolwa Mbogo ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mlele.

 Michuano ya Kata  maarufu  kwa jina la Diwani CUP imemalizika kwenye uwanja wa shule ya Msingi Inyonga huku timu ya Balack Scopioni ikiibua mshindi  baada ya kuibamiza timu ya Chonile FC jumla ya magori 3-1 na kujihakikishia ubingwa kwa mara ya pili mfululizo.

Jumla ya timu 16 zilishiriki na yaliendeshwa kwa  mtindo wa ligi ambapo timu zilicheza toka awamu ya kwanza kwa makundi hadi kufikia fainali, katika michuano hiyo timu iliyoibuka Bingwa ilijinyakuliwa  kitita cha shilingi laki tatu na nusu taslimu fedha za kitanzania. Huku mshindi wa pili akijinyakulia shilingi laki tatu kamili na mshindi wa tatu aliondoka na shilingi laki mbili na nusu huku mchezaji bora na waamuzi bora kila mmoja akiondoka na shilingi elfu hamsini.

Diwani wa Kata ya Inyonga Mhe.Soud Mbogo ambaye ndiye  Mlezi wa Michuano hiyo ameeleza kuwa lengo la kuanzisha mashindano hayo ni kuibua vipaji na kuvikuza katika Kata ya Inyonga na Halmashauri kwa ujumla  ikiwa ni kutekeleza Ilani ya CCM,

Pia  Mhe Mbogo ameeleza kuwa kwa sasa michezo ni ajira,michezo imewasaidia vijana wengi kupata ajira na kujiongezea kipato, vipo vipaji vingi lakini havionekana hivyo kupitia michuano hii vipaji vingi vitaibuliwa na kuonekana na vijana watanufaika kupitia vipaji vyao vya michezo. na  Michuano hiyo itakuwa inafanyika  kila mwaka. .

Aidha amewapongeza timu zote  zilizoshiriki na hizi mbili zilizoingia fainali na kuwaomba kudumisha nidhamu  na bidii waliyoionesha katika  michuano hiyo,  timu 16 zilishiriki  lakini ni timu mbili tu zilizofanikiwa kuingia fainail hivyo labda ni kutokana na bidii waliyoinesha pamoja na nidhamu katika michezo ndiyo maana wamefanikiwa kufika hapo walipofika kwenye fainali ya michuano hiyo.

Mhe.Mbogo ameeleza kuwa michezo  ni sehemu ya burudani, michezo ni sehemu ya mazoezi kuimarisha miili yao na kujenga afya ya miili yao hivyo amewaomba  waendelee kushirikiana namna hiyo na wataendelea kuiboresha kila mwaka ili iweze kuwa bora Zaidi.

Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi mgeni rasmi katika michuano hiyo Katibu wa CCM Wilaya ya Mlele Joshua Mbwana  amewaasa vijana kucheza mipira kwa nidhamu ya hali ya juu na kuwasisitiza  wasicheze kwa kuumiza na kukomoona kwa kuwa uhai ni muhimu kuliko mpira wenyewe.lazima wajali kwanza uhai wao.

Mbwana amesema  iwapo wataumia hata Serikali itakuwa imekosa nguvu kazi, maana ukiumia  inakuwa haina maana tena kwani jamBo la msingi ni kucheza bila kukamiana kama ukiumia iwe bahati mbaya isiwe kwa makusudi.

Aidha Mbwana amewaonya waamuzi kuchezesha kwa haki ili mshindi apatikane kwa haki kweli. na wala siyo upendeleo wao.kwa kuwa waamuzi  wamekabidhiwa dhamana hiyo basi watende haki Mshindi apatikane kwa haki,.kwa kuwa mashindano hayo yanatoa nafasi kwa vijana kuonesha vipaji vyao na hatimaye kujijengea mazingira  mazuri ya kuonekana na timu nyingine kubwa na hata timu ya taifa.ameeleza kuwa Michuano hiyo itakuwa ikifanyika kila mwaka .

Mwisho.


   Katibu wa CCM Wilaya ya Mlele Joshua Mbwana akikabidhi zawadi  ya Mshindi wa mashindano ya Diwani cup kwa  timu ya Black Scopion kutoka kutoka  Kijiji cha Inyonga Kata ya Inyonga,kushoto ni mlezi wa mashindano hao Mhe,Soud Mbogo,


Mlezi wa Mashindano ya haya ya Diwani wa Kata ya Inyonga Soud Mlolwa Mbogo akikabidhi zawadi kwa  timu ya  Chonile FC kutoka  Kijiji cha Inyonga Kata ya Inyonga,

.                                                                                                                     Timu ya Chonile FC katika picha ya Pamoja


                                                                                                                       

                                                                                                                        Waamuzi waliochezesha mashindano hayo katika picha ya pamoja na ttimu zote mbili

 

Timu ya  Black Scopion katika picha ya Pamoja



Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa