• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Jengo la Utawala Halmashauri ya wilaya ya Mlele.

Posted on: May 13th, 2021

 

Wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za mikoa wa Serikali za Mitaa watembelea Ujenzi wa Jengo la Utawala Halmashauri ya Wilaya ya Mlele   ’kujionea maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo,pichani ni baadhi ya wajumbe kama wanavyoonekana

WAJUMBE WA ALAT MKOA WATEMBELEA MIRADI NA KURIDHISHWA NA HALI YA UTEKELEZAJI.

 Wajumbe ALAT Tawi la Mkoa Mkoa wa Katavi wamefanya ziara kutembelea  mradi wa jengo la utawala na kupokea taarifa ya ujenzi wa mradi huo  kwa mjibu wa taarifa iliyotolewa na eneo la ujenzi iliyosomwa na Afisa Mipango na Ufuatiliaji Alfred Sungura ilieleza kuwa  utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Utawala la ghorofa moja linalojengwa na Mkandarasi Mshauri BICO ujenzi wake unaendelea vizuri jambo la msingi juhudi ziongezwe ili liweze kukamilika na huduma ianze kutolewa mapema iwezekanavyo kwa kuwa wenzao wa Halmashauri ya Mpimbwe walishakamilisha.

Mradi huu ulianza kutekelezwa mwezi Augost mwaka 2019 na ulitarajiwa kukamilika ifikapo februari 2021 lakini kutokana na Halmashauri kuchelewa kupokea fedha kutoka Hazina,mradi ulisimama kwa kipindi cha miezi miwili na nusu kuanzia Disemba 2020 hadi februari 2021 hivyo muda wa mkataba kuongezwa ili ukamilike ifikapo septemba 2021.

Mkataba baina ya SUMA JKT na Halmashauri utagharimu kiasi cha shilingi 2.1 bilioni hadi sasa kiasi cha shilingi milioni 990.6  kimelipwa kama inavyoonesha kuwa  Mkandarasi Mjenzi SUMA JKT Kanda ya Magharibi ameishalipwa shilingi 646.6 milioni,Mkandarasi Mshauri BICO Amelipwa 61.9 milioni, na tangu kuanza kwa mradi kiasi cha shilingi 1.7 bilioni kimepokelewa na kimetumika.

Kwa sasa Halmashauri imepokea hati ya madai namba 4 ya shilingi 288.7 milioni kulingana na kazi zilizotekelezwa  shilingi 98.4 milioni kwa ajili ya kumlipa Mkadarasi mshauri, na shilingi 191.3  milioni  kwa ajili ya Mkandarasi mjenzi.

 Maombi yameandaliwa ili kuawasilishwa kwa Katibu Mkuu Hazina kuomba malipo ya fedha hizo na kupatikana kwa fedha hizo kutawezesha upauaji na kuanza na umaliziaji.

Aidha taarifa ilieleza kuwa mradi huuo uko katika mpango wa Bajeti ya Halmashauri na umetengewa cha shilingi bilioni moja kwa mwaka wa fedha 2021/2022 na ,radi unatarajiwa kukamilika kulingana na mpango.

 Wajumbe baada ya kutembelea miradi  walihitimisha kwa kufanya kikao cha majumuisho. Kilichofanyikia katika ukumbi wa  Makitaba Shule ya Sekondari Inyonga. Mwenyekiti wa wa ALAT Mhe Haidary Sumry alipongeza kwa kuwa na umoja  katika kukiendesha chombo hicho,akapongeza uongozi uliomaliza muda wake akaomba ushirikiano zaidi kwa wajumbe .

   Katika kikao hicho baadhi ya mambo mbalmbali yalijadiliwa na kupatiwa ufumbuzi pia  waliyokubaliana Wajumbe  kuwa  Halmashauri zinazodaiwa michango ya ALAT ya nyuma zilipe madeni hayo kwani bila kulipa michango chombo hicho hakitoweza kujiendesha.

 Naye Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Hamad Mapengp aliwakumbusha wajumbe  kufuatiliaji wa kiwanja cha ALAT,   pamoja na usimamizi mzuri wa mapato,pamoja na  kuanzisha miradi ya kiuchumi itakayosaidia kuingiza kipato,kama   uongozi uliopita ulivyoshawishi uanzishaji wa kililmo cha zao la Korosho kwa Mkoa wa Katavi na  umeacha alama kwenye chombo hicho.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATAALAMU

    June 03, 2025
  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa