• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Kamati ya Siasa Wilaya ya Mlele yakoshwa na ubora wa Miradi ya Maendeleo

Posted on: April 14th, 2023

Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Mlele yafanya ziara kutembelea Miradi ya  Maendeleo yaridhishwa na usimamizi wake,yamwaga pongezi kwa Mkurugenzi Mtendaji na Timu yake, 

KAMATI YA SIASA YA WILAYA YA MLELE YAFANYA ZIARA KUTEMBELEA MIRADI YA  MAENDELEO YARIDHISHWA NA USIMAMIZI WAKE,YAMWAGA PONGEZI KWA MKURUGENZI MTENDAJI NA TIMU YAKE, 

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mlele Mhe.Wolfgang Mizengo Pinda  amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Kwa utekelezaji wa Miradi  ya maendeleo iliyotekelezwa kutokana na fedha za Serikali Kuu na kupongeza kwa usimamizi mzuri wa miradi hiyo na thamani ya fedha inaonekana .

Pinda ametoa pongenzi hizo April 13’ 2023 katika ziara ya Kamati ya Siasa  Wilaya ilipofanya ziara kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama..

Miradi iliyotembelewa ni miradi ya Sekta ya Elimu Msingi,Elimu Sekondari,Miradi ya Sekta ya Afya,Miradi ya Sekta ya Maji Pamoja mradi wa Sekta ya Miundo mbinu ya barabara zinazosimamiwa na Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA.

 Kamati ilikagua barabara ya kutoka Inyonga hadi Nsenkwa inayojengwa kwa kiwango cha lami,na ujenzi wa barabara za mjini katika mji wa Inyonga,na kupokea taarifa ya ujenzi wa barabara hizo,

 Kamati vilevile ilitembelea ujenzi wa Bwawa la kusambaza maji katika Mji wa Inyonga lililoko Kata ya Nsenkwa bwawa ambalo linajengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.9 fedha kutoka Serikali Kuu na Kujionea hali halisi ya Maendeleo ya Mradi huu.kisha kutoa maelekezo kukamilika mapema ili wananchi waweze kupata huduma ya maji ili wafurahie matunda ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe.Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Baada ya kutembelea miradi ya Maji na Barabara Kamati ilitembelea miradi ya Sekta ya Elimu Msingi ujenzi wa nchumba kimoja cha darasa Shule ya Msingi Masigo iliyokoKata ya Ilela Pamoja na Shule ya Msingi Ilela yenye vyumba viwili vya Madarasa vilivyojengwa kwa gharama ya shilingi Milioni 40,Pamoja na ujenzi wa nyumba ya moja ya mwalimu yenye uwezo wa kuishi familia mbili inayojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 56  Shule ya Msingi Imalauduki inayojengwa kwa  fedha kutoka Serikali Kuu.

Mwenyekiti  wa CCM Wilaya akiongea baada ya kukagua ujenzi wa  Chumba kimoja cha darasa Shule ya Msingi Masigo kilichojengwa kwa gharamaya shilingi milioni 20 Fedha kutoka Serikali Kuu,Mradi huo  ikiwa ni miongoni mwa vyumba tisa vya madarasa vilivyojengwa katika Halmashauri ya kwenye shule Kongwe za wachawaseme,Kamsisi,Ilunde, na Ilela aliridhishwa na utekelezaji wake ambapo gharama za mradi zinalighnana na thamani ya fedha zilizotolewa na serikali Hali iliyofadhi kamati ya siasa kuridhishwa na usimamizi wa miradi kuwa mzuri.

Naye Mbunge wa Jimbo la Katavi Mhe. Isaack Kamwelwe ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Siasa amepongeza kwa usimamizi mzuri wa miradi akawataka kuendelea na ari hiyo hiyo ya kusimamia miradi yote inayotekelezwa katika Halmashauri hiyo ili kuwaletea maendeleo wananchi.

Amepongeza watendaji wote wa Halmashauri waheshimiwa Madiwani,wananchi na Viongozi wote kwa usimamizi mzuri wa miradi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe.Soud Mbogo ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa  ameishukuru Serikali inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Samia  Suluhu Hassan kwa kuwaletea fedha wananchi wa Halmashauri ya Mlele kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo.wananchi wa wilaya hiyo wanamshukuru sana kwa kuwajali na kuendelea kuwaletea fedha nyingi.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa