• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Kikao kazi kikiendelea

Posted on: November 27th, 2020



















1. Mkuu wa Idara ya Fedha wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele   Obindi Wembe mwenye shati nyekundu na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA  Joseph Mkumbwa mwenye shati la kijivu, wakiwasiliza watumishi wakati wa kikao kazi cha kujengea uwezo kuhusu matumizi ya mashine za kielektroniki kwa zinazohusika katika ukusanyaji wa mapato,hawapo pichani




 KIKAO KAZI CHA KUJENGEANA UWEZO.

Idara ya Utumishi na Utawala kwa kushirikiana na Idara ya Fedha imetoa Elimu kwa watumishi    kuhusiana na suala la  matumizi ya mashine za  kielektronic zinazohusika katIka  ukusanyaji wa mapato  Point of Sale (POS),Elimu hiyo imetolewa kwenye kikao kazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari Inyonga ulioko Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi. 

Lengo la  kikao kai hicho ni kwa ajili  ya kuwajengea uelewa zaidi kuhusiana na matumizi ya mashine za kukusanyia mapato za kielektroniki za POS  ili kuongeza mapato katika ukusanyaji kupitia vyanzo mbalimbali vya  Halmashauri.

Mafunzo hayo yamejumuisha washiriki zaidi ya 40 ambao ni  Watendaji wa Vijiji,watendaji wa Kata,  Maafisa Ugani,pamoja na wale wanaohusika na ukusanyaji wa mapato kutoka kwenye  vyanzo mbalimbali vilivyoainishwa kwenye mashine hizo.

Akiwasilisha mada inayohusiana na ukusanyaji wa mapato kwa kutumia mashine  za kielektroniki Afisa TEHAMA wa Halmashauri ya  Wilaya  ya Mlele Joseph Peter Mkumbwa akiwasilisha mada ya matumizi ya mashine hizo  amepitisha hatua kwa hatua   kwa kina  kuhusiana na taratibu za matumizi ya mashine hizo, namna ya kuzitumia  wanapokuwa wanakusanya mapato.sanjali na kutoa stakabadhi kwa mhusika.

Pia amesisitiza kuwa iwapo kutakuwa na tatizo lolote la kiufundi kuhusiana na mashine hizo wasisite kuasiliana ili kulipatia ufumbuzi,pia ameleza kuwa baadhi ya mashine zilikuwa na changamoto lakini wanaendelea kuzishughulikia hatua kwa hatua.

Naye Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo Obindi Wembe ameeleza umuhimu wa kuwasilisha fedha wanazokusanya kwa wakati ili kuepuka kuingia kwenye matatizo yasiyokuwa ya lazima na pindi inapokuwa imetokea tatizo watoe   taarifa kwa wakati na kwa maandishi nini kimetokea.

Pia ameeleza kuwa kila matumizi yanayofanyika ya fedha za Serikali lazima ufuatwe utaratibu na kiserikali na fedha za Serikali haziwezi kutumika bila utaratibu tena kwa maandishi na mamlaka husika lazima ijiridhishe,pia amewasisitiza kuwa waadilifu na fedha za serikali na kila wanapokusanya wawe wanaziwasilisha banki kwa wakati.

Ameongeza kuwa kwa wale walioko mbali na makao makuu upo utaratibu ulioandaliwa na ofisi kuona namna ya kuwaaidia kuwasilisha kwa wakati fedha hizo akasisitiza wasikae na fedha ya Serikali.

Mada nyingine zilizowasilishwa ni  pamoja na maadili katika utumishi wa umma iliyowasilishwa na Afisa Utumishi  kutoka Idara ya utumishi na Utawala iliyokuwa ikiwakumbusha watumishi wa umma kufuata maadili ya utumishi wa umma kwa kufuata taratibu kanuni miongozo na sheria za utumishi wa Umma.

Aidha katika Mafunzo hayo mambo mbalimbali mbali yalijadiliwa ikiwamo masuala ya kisheria yaliyotolewa ufafanuzi na Afisa Sheria  Verynice Gamba,sanjali na mada zinazohusiana na masuala ya biashara.

Nao washiriki katika kikao kazi hicho walishukuru kwa uongozi wa Halmashauri kufanya maamuzi ya kuwaita  kukutana na kujadiliana mambo mbalimbali ya kiutendaji hali iliyowajengea uelewa zaidi sanjali na kushughulikia baadhi ya changamoto zilizokuwa zikiwabili   hatimaye kuzipatia ufumbuzi,na kisha kuweka mikakati namna ya kufanikisha suala la ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kuleta maendeleo,ikiwepo changamoto ya bando linalowekwa kwenye POS suala ambalo Mkuu wa Idara ya Fedha amesema wao kama ofisi wamelichukua na wanalishughulikia ili kulipatia ufumbuzi.

Mwisho .

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATAALAMU

    June 03, 2025
  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa