• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

KUU WILAYA YATEMBELEA MIRADI YA MWENGE MLELE

Posted on: September 4th, 2025

PICHANI Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mlele yakagua miradi ya Maendeleo ya Mwenge hapo jengo la Zahanati ya Ilela Kata ya Ilela Kijiji cha Ipwaga

 

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mlele yakagua miradi ya Maendeleo ya Mwenge,

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mlele imefanya ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo inayotarajiwa kukaguliwa na Mwenge wa Uhuru mwaka huu,ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mapokezi ya Mwenge huo.

Ziara hiyo iliongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mlele Bw.Yahya Mbulu kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Majid Mwanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ilela , Ujenzi wa Shule ya Msingi Songambele iliyoko katika kijiji cha Songambele Kitongoji cha Shama.pamoja na ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya Sekondari Uzega.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi.Sigilinda Mdemu ameeleza hatua za utekelezaji wa miradi hiyo na kusisitiza kuwa miradi yote imezingatia thamani ya fedha (Value for Money) huku akitoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kusimamia maendeleo yao.

Mkurugenzi Mtendaji ameahidi miradi hiyo kukamilika kwa wakati ,Kamati imepongeza maendeleo na kusisistiza ubora.

Ziara hii imelenga kuhakikisha maandalizi ya kupokea Mwenge wa Uhuru yanaenda Sanjari na Ubora wa Miradi inayotarajiwa kuwekwa mawe ya ,Msingi,Kuzinduliwa na Kufunguliwa rasmi.

Tunajivunia jitihada za maendeleo zinazofanyika,na tunahakikisha kila mradi unazingatia viwango vya ubora kwa manufaa ya wananchi.

Tunaendelea kushikiana kujenga Mlele yetu.

#Mwenge wa Uhuru 2025

#MleleInajenga

#Maendeleoni Kazi.


Picha za  Matukio mbalimbali wakati wa ziara ya Kamati ya ULINZI NA USALAMA WA WILAYA YA MLELE ILIPOTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOTEMBELEWA NA MBIO ZA MWENGE WA UHURU sEPTEMBA 26,2025

Jengo la zahanati kijiji cha ipwaga kata ya Ilela mmoja ya mradi utakaotembelewa na mbio za Mwenge wa Uhuru utakapokuwa katika halmashauri ya mlele



                                                            Mwonekano wa shule ya Sekondari uzega iliyotembelewa na KUU Wilaya ya Mlele moja ya miradi itakayotembelewa na MWENGE WA UHURU

                                                                                       Wajumbe wa KUU WILAYA WAKIWASILI SHULE YA MSINGI Songambele Kitongoji cha Shama kujionea maendeleo ya UJENZI WA shule hiyo

                              MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya WILAYA YA Mlele  Bi.Sigilinda Mdemu akitoa maelezo ya utekelezaji wa miradi Mbele ya Kamati ya ulinzi na Usalama ya Wilaya kama  anavyoonekana hapo mbele

                                                                                        (.PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO)

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 04, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • DC MLELE AONGOZA WANANCHI KUFANYA USAFI

    September 06, 2025
  • KUU WILAYA YATEMBELEA MIRADI YA MWENGE MLELE

    September 04, 2025
  • KIKAO CHA TATHIMIN YA ZIARA

    August 25, 2025
  • MAFUNZO YA NEST

    August 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa