• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

MICHUANO YA KOMBE LA DIWANI YASHIKA KASI MLELE

Posted on: October 26th, 2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi.Teresia Irafay   akikgua timu kabla ya kuanza kwa fainali ya kombe la Diwani,mwenye jenzi ya njano ni Diwani wa Kata ya Inyonga Mhe.Soud Mbogo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri na mdhamini wa michuano ya Diwani CUP

Michuano ya Kombe la Diwani Kata ya Inyonga lahitimishwa  huku Bingwa akipatikana  kuondoka na zawadi nono huku  likitumika   kuibua vipaji vilivyofichika kwa vijana na kuhamasisha shughuli za Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

 Kombe la Diwani Kata ya Inyonga limemalizika kwa kushuhudia timu ya black scopioni kuibuka bingwa wa michuano hiyo na kujinyakilia zawadi ya silingi laki laki nne(shilingi 400,000),Mshindi wa Pili shilingi (250,000) laki mbili na nusu na mshindi wa tatu shilingi (150,000) laki moja na nusu.

akizungumza  kwani niaba ya Mkuu wa Wilaya  ya Mlele Mhe. Filberto Sanga wakati wa kukabidhi Kombe kwa mshindi wa michuano hiyo  ni timu ya Black Scopion  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi.Teresia Irafay   amesema kuwa lengo la mashindano hayo  ilikuwa kwa ajili ya kuibua vipaji.

Lengo linguine ilikuwa kuwafanya vijana wajishughulishe kuiwekamiili yao katika mazoezi na utayari kwa kuwa michezo ni afya, michezo ni furaha ,michezo huwaleta watu pamojan na inasaidia kuepusha  vijana kutojihusisha na tabia ambazo haziendani na maadili  mazuri kama kutumia madawa ya kulevya mfano bangi na tabia nyingine mbaya katika jamii.   

alisema kuwa mashindano hayo yatatoa nafasi kwa vijana hao kuonesha vipaji vyao na hatimaye kujijengea mazingira mazuri ya kuichezea timu kubwa kwa kuwa michezo ni ajira na kujipatia kipato.

  Bi Irafay  amesema pamoja na kufanya michezo yapo masuala ya kujenga uchumi na kwenye Halmashauri yetu kuna trekta la kikundi cha vijana   linaanza kufanya kazi ,tuna kiwanda cha sabuni,mji wetu unakuwa hivyo vijana tujikite katika shughuli za uzalishaji  mali ili kujiongezea kipato, baada ya shughuli za uzalishaji burudani.alisema Irafay. 

  Mapema  Mdhamini wa Michuano hiyo ambaye ni Diwani wa Kata ya Inyonga na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe.Soud Mbogo Mlolwa akizungumza muda mfupi baada ya kuhitimishwa kwa michuano hiyo amesema lengo kuwa la kuanzisha michuano hiyo kwanza ni kuiba vipaji vya vijana  kwa kuwawezesha  vijana waoneshe vipaji vyao ikiwemo kuhamsisha shughuli za maendeleo,katika wilaya ikiwa ni moja ya utekelezaji wa ilani ya chama cha Mapinduzi,kwa kuwa michezo ni ajira ni furaha na ni afya pia kuwepo kwa michezo hiyo kunawaweka vijana pamoja na kufahamina zaidi.

Mhe. Mbogo anatoa  rai kwa vijana   watumie nafasi waliyoipata katika mashindano hayo ,na pia   wafuate kanuni 17 zinazoongoza mpira wa miguu na taratibu nyingine za michezo kwa kuwa michezo inajenga  udugu na mshikamano basi ni vyema washiriki wa michuano hiyo kuwa  na nidhamu.

  Kutokufanya hivyo kunaweza kuwakatisha tamaa  Viongozi wengine ambao wangeongeza  hamasa kusapoti suala hili na kuchochea maendeleo.

Kwa upande Festo Magili ni mwakilishi wa Vilabu kwa niaba ya wanamichezo na vilabu anamshukuru Mhe.Diwani kwa kudhamini ligi hiyo huku akiomba wadau wengine wajitokeze  kuibua vipaji kama alivyofanya Mhe.  Mbogo Diwani wa Kata ya  Inyonga.

“Michezo hii inasaidia vijana kujiepusha na vitendo vya kiharifu,tumebaini katika Kata ya Inyonga kuna vipaji vingi kwa vijana kucheza mpira itawezseha kuunda timu ya wilaya iwapo watapewa sapoti“ alisema Magili.  

Michuano ya Kombe la Diwani Kata ya Inyonga limemalizika kwa kushuhudia timu ya black scopioni kuibuka bingwa wa michuano hiyo na kujinyakilia zawadi ya silingi laki laki nne(shilingi 400,000) huku ,Mshindi wa Pili timu ya Wababe FC walipata  (shilingi 250,000) laki mbili na nusu na mshindi wa tatu timu ya Mzalendo ilijipatia zawadi ya  (shilingi 150,000) laki moja na nusu.

(Imeandaliwa na Kibada Ernest Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.)

Mwisho

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATAALAMU

    June 03, 2025
  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa