• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi. Teresia Irafay akitoa taarifa ya miradi iyotekelezwa katika kata ya kamsisi katika mkutano wa Hadhara Kijiji cha Kamsisi Mbele ya Wananchi kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele Filiberto Sanga.

Posted on: September 3rd, 2021

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele BiTeresia Irafay, ameeleza kuwa  miradi  mbalimbali ya maendeleo imetekelezwa katika kata ya Kamsisi   kwa mwaka fedha  2020/2021  uliopita wa serikali  miradi  mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi  119.4 milioni  imetekelezwa katika kata ya Kamsisi miradi ambayo ilifadhiliwa na Serikali kuu chini ya usimamizi wa Halmashauri.

Bi Irafay  ameitaja baadhi ya miradi hiyo kuwa sekta ya elimu ya Sekondari na Msingi ,ujenzi wa vyumba  vinne vya madarasa katika shule ya Msingi Imalaudunki kwa gharama ya shilingi milioni 60,Shule ya Kamsisi,na Songambele.

Aidha Bi Irafay ameeleza kuwa serikali kwa mwaka huu wa fedha 2021/2022 Halmashauri  imeidhinisha  na Bunge kiasi cha shilingi milioni 683.7 kwa ajili ya kutekeleza  miradi  mbalimbali ya maendeleo  kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa,ununuzi wa vifaa vya maabara, ujenzi vyumba vya madarasa na vile vya  Tehama katika shule ya sekondari Kamsisi..

Mkurugenzi huyo ameendelea kuwakumbusha watendaji wote vijiji  kuwa  kila wanapofanya mikutano  ya serikali ya vijiji vyao kuhakikisha wataalam waliopo katika maeneo hayo wanahudhuria, kwenye mikutano hiyo ili kusaidia kuletolea ufafanua mambo  yanayojitokeza katika mikutano hiyo.

Pia Bi Teresia ,amesisitizia kuwepo ushirikiano, mshikamano na uwajibikaji katika kuwaleta wananchi maendeleo.

Nao wananchi wa Kijiji cha Kamsisi wakiwasilisha kero zao kwa nyakati tofauti  mbele ya  Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Sanga, waliaanza kwa kuishukuru  Serikali kwa kuwaletea miradi ya maendeleo katika kata yao.

Walitaja baadhi ya Maendeleo hayo kuwa ni  barabara,maji,umeme,Elimu,Afya,pamoja na maendeleo mengine yaliyopo kwenye Kata  yao.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa