• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Filiberto Sanga akiwahutubia wananchi katika mkutano wa Hadhara uliofanyika kwenye ofisi za kata ya Kamsisi kama inavyoonekana pichani.

Posted on: September 3rd, 2021
  •  WATENDAJI WA VIJIJI WAHIMIZWA KUSOMA MAPATO NA MATUMIZI 

Mkuu wa Wilaya ya Mlele  Mhe.Filiberto Sanga amewaagiza  Wenyeviti wa Serikali za Vijiji na Watendaji wa Vijiji   Wilaya ya Mlele   kuhakikisha wanaitisha mikutano ya hadhara ya  Serikali ya vijiji  vyao kila baada ya miezi mitatu na kusoma mapato na matumizi kwa wananchi ili kujenga utawala bora.  

Ametoa maelekezo  hayo  wakati akiwahutubia wananchi katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika kijiji cha Kamsisi ofisi ya Kata ya Kamsisi kwa ajili ya kuhimiza shughuli za maendeleo na kusikiliza na kupokea  kero za wananchizilizowasilishwa na wanachi wa kijiji hicho Septemba 3 mwaka 2021,kufuatia kuwepo kwa kero zinazowakabili wananchi hao.

Akiwahutubia wananchi  kwenye Mkutano wa Hadhara  amewataka kudumisha hali ya amani iliyopo katika wilaya hiyo kwa kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani kwa kuwa  hali ya usama katika wilaya na kijiji hicho ni shwari.Hivyo akawataka waendelea kulinda na kudumisha hali hiyo sanjali na kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kutoa taarifa kwa wageni ambao wanaingia bila kuwa na taarifa yeyote watoe taarifa kwa uongozi wa serikali uiliopo katika vijiji vyao.

Akizungumzia suala la miradi ya maendeleo iliyotekelezwa nkatika kijiji hicho na Kata ya Kamsisi ameeleza kuwa  miradi hiyo  ya maendeleo iliyotekelezwa,inayoendelea kutekelezwa na itakayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania  Mhe.Mama Samia Suluhu Hassan, katika Kata hiyo Halmashauri na Wilaya ya Mlele ni kielelezo tosha kuwa Serikali iliyoko madarakani inafanya kazi nzuri na kubwa ya kuwalete maendeleo watanzania hususani wakazi wa wilaya ya Mlele na Kijiji cha Kamsisi.  

 Kwa kauli yao wananchi wametaja baadhi ya miradi iliyotekelezwa  kuwa ni  pamoja na ujenzi wa miundombinu ya Barabara kwa kiwango cha lami,barabara ya  kutoka Mpanda hadi Tabora,miradi ya umeme,elimu ya Msingi  ujenzi wa vyumba vya madarasa,nyumba za walimu ,  miradi ya ujenzi wa Sekondari,uimarishaji wa miundo mbinu ya  maji,Afya sanjali na ujenzi wa Maabara,yote hayo yametekelezwa kutokana na kuwepo na amani na usalama wa nchi yetu chini ya uongozi mzuri uliopo.

Akifungua Mkutano huo huo Mwenyekiti wa Kijiji cha Kamsisi na Leonard Nkomo na Diwani wa Kata hiyo Leonard Kiyungi wwalieleza baadhi ya changamoto zinazoikabili kijiji na Kata ya Kamsisi kuwa ni uhaba wa maeneo kwa ajili ya shughuli za kilimo wakaomba serikali kuona namna ya kuwaongezea maeneo kwa ajli ya shughuliza kilimo kwa kuwa eneo lililopo ndogo na wao kkijiji cha kilifanyiwa matumizi bora ya ardhi lakini maeneo hayo yamechukuliwa kwa ajili ya hifadhi na hawana maeneo ya kulima.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele BiTeresia Irafay, akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika kata ya Kamsisi  ameeleza kuwa  kwa mwaka fedha  uliopita serikali imefadhili miradi ya mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi  119.4 milioni katika kata ya Kamsisi.

 

Aidha Bi Irafay ameeleza kuwa serikali kwa mwaka huu wa fedha imeidhinisha  na Bunge kiasi cha shilingi milioni 683.7 kwa ajili ya kutekeleza  miradi  mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na elimu ya sekondari  kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa,ununuzi wa vifaa vya maabara, ujenzi vyumba vya Tehama.

Mkurugenzi huyo ameendelea kuwakumbusha watendaji wote vijiji  kila wanapofanya mikutano  ya serikali ya vijiji vyao kuhakikisha wataalam waliopo katika maeneo hayo wanahudhuria, kwenye mikutano hiyo ili kusaidia kuletolea ufafanua mambo  yanayojitokeza katika mikutano hiyo.

Pia Bi Teresia ,amesisitizia kuwepo ushirikiano, mshikamano na uwajibikaji katika kuwaleta wananchi maendeleo.

Nao wananchi wa Kijiji cha Kamsisi wakiwasilisha kero zao kwa nyakati tofauti  mbele ya  Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Sanga, waliaanza kwa kuishukuru  Serikali kwa kuwaletea miradi ya maendeleo katika kata yao.

Walitaja baadhi ya Maendeleo hayo kuwa ni  barabara,maji,umeme,Elimu,Afya,pamoja na maendeleo mengine yaliyopo kwenye Kata  yao.

Pamoja na kushukuru walieleza baadhi ya kero zinazowakabili katika kijiji chao ikiwa ni pamoja na kero  za ardhi maeneo ya kilimo,kero ya mbolea hali waliyoeleza kuwa ni gharama kubwa ya upatikanaji wake, wakaomba serikali kusaidia kupunguza gharama.

Kero nyingine walizowasilisha mbele ya Mkuu wa Wilaya ni pamoja na kutofanyika mikutano ya hadhara ya Serikali ya kijiji na kusomewa mapato na matumizi katika kijiji chao.

Baadhi ya wataalama katika mkutano huo walijibi walijibu kero mbalimbali nakuzipatia ufumbuzi na nyingie zilichukuliwa kwa ajili ya kutafutiwa ufumbuzi.

Katika hatua nyingine suala la kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa UVIKO 19 ambalo ni janga la dunia halikuwa nyuma kuzungumziwa  atika mkutano huo ambapo wameendelea kuwahimiza wananchi kuchukua tahadhali zote za afya ikiwa ni pamoja na kuna mikono kwa maji tiririka na sabuni,kuvaa barakoa,kukaa mbali mita moja pamoja na kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima kuchanjwa chanjo kwa hiari.

 Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa