• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filberto Hassan Sanga akihutubia wananchi mkutano wa Hadhara.

Posted on: June 30th, 2021
  • Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mlele Mhe.Filberto Hassan Sanga akiongea na wananchi kitongoji cha Kafuru  Kata ya Utende wakati wa Mkutano wa kuhamasisha suala la ulinzi na usalama kulia kwa mkuu wa Wilaya ni Kamishina wa Polisi Jamii  Taifa Dr Musa Alli Mussa.



WANANCHI HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE MKOA WA KATAVI  WAMEHIMIZWA  KUSHIRIKI KATIKA SUALA LA ULINZI SHIRIKISHI KWA KUSHIRIKIANA NA  POLISI.

Kamishina wa Polishi jamii Taifa Dr Musa Alli Mussa amewataka wananchi kudumisha Suala la  Ulinzi na Usalama katika maeneo yao kwa kushirikiana na Polisi wachache waliopo,ambapo serikali inajitahidi kupeleka angalau   kila Kata Polisi watakaosaidiana na wananchi katika kuimarisha suala la ulinzi na usalama na kamati za Ulinzi na usalama ngazi ya Kata.

 Kutokana na Mabadiliko yanayofanyika katika kwenye Jeshi la Polisi mabadiliko ya kimfumo ili waweze kufanya kazi kwa ueledi zaidi bila kutumia nguvu badala yake uwepo ufanyaji kazi kwa kushirikisha jamii katika suala la ulinzi,kutoka kufanya kazi kwa kutumia nguvu na badala yake kufanya kazi kwa ueledi zaidi.

Dr Mussa amesema Jeshi la Polisi lazima libadilike kwa kutoka Polisi ya kizamani na kuwa Polisi ya kisasa wajiepushe kujitenga na jamii, watambue kuwa wao nao ni jamii kama ilivyo jamii nyingine wajirudishe kwenye jamii washirikiane ili kufichua uharifu.

Amesema kwa hali hiyo ndiyo maana sasa Jeshi la Polisi limekuja na Mwongozo wa Ulinzi Shiriki kwa kushirikisha Jamii  katika ulinzi wa Jamii na rasilimali za Taifa.

Kwa kuwafikia wananchi huko vijijini na kuhimiza  uundwaji wa Kamati za ulinzi na usalama kuanzia ngazi za Vijiji, Kata, Wilaya, Mkoa na Taifa uwepo muunganika kuliko ilivyo sasa ambapo  hakuna Kamati za ulinzi na usalama ngazi ya Kata, hali hiyo inakata mawasiliano,  ya ulinzi Shirikishi.

Kamishina Mussa amesema  kuwa kwa kushirikiana pamoja katika kupambana  na Uharifu, uharifu unaweza kutoweka  kama siyo kwisha kabisa maana waharifu tunawatambua tunaishi nao ni watoto wetu,ni wenzetu ni ndugu zetu,kwa kuwa waharifu tunaishi nao tutaweza kuwadhibiti kuanzia ngazi ya chini huko huko kwa kushirikishana.

Kwa mantiki hiyo  tunaweza kuweka hali ya usalama na amani ikadumu  ikiwa tutashirikiana kwa pamoja,ndiyo maana ya kuanzisha vikundi vya ulinzi vitakavyosaidia ulinzi katika maeneo husika.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filberto Hassan Sanga akiongea na wananchi katika Mkutano wa Hadhara Kijiji cha Kitongoji cha Kafuru Kata ya Utende  Halmashauri ya wilaya ya Mlele amewataka wananchi kudumisha hali ya ulinzi na usalama na kuwataka watoe ushirikiano wa karibu kwa Jeshi la Polisi ilikudumisha ulinzi katika wilaya  hiyo.

Amesema bila Amani na usalama hakuna maendeleo hivyo maendeleo yatakuja kama kutakuwa na  Amani na utulivu hivyo   amani na usalama ni vitu vinavyoenda pamoja huwezi kuzalisha kama amani hakuna, hivyo atatoa ushirikiano kuhakikisha ulinzi na utulivu  katika Wilaya unakuwepo.

 Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa