• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

WILAYA YA MLELE YAENDELEA KUNG'ARA KATIKA SEKTA ZOTE ZA MAENDELEO.

Posted on: October 13th, 2022









Bwawa la Nsenkwa majia  lililochimbwa na kuhifadhiwa vyema  kwa ajili ya kusambaza maji katika Mji wa Inyonga moja ya chanzo cha uhifadhi Mazingira Wilaya ya Mlele.


Pichani Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filberto Sanga akipokea  zawadi ya Cheti  kutoka kwa  Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko baada ya Wilaya ya Mlele  kutangazwa kufanya vizuri katika suala la Utunzani wa Mazingira.

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko amekemea vikali tabia ya baadhi ya Wananchi kuosha vyombo vyao vya Moto ndani ya mito na badala yake amewataka kutafuta maeneo mengine na kuweka miundombinu ya Maji ili kufanya kazi yao hiyo Ili kudhibiti uharibifu wa mazingira na kuzuia magonjwa ya mlipuko,

Mhe.Mrindoko amepiga marufuku  katika kikao cha tathimini ya utekelezaji wa mpango mkakati wa usafi na utunzaji mazingira mkoa wa Katavi,kilichowakutanisha Viongozi mbalimbali wakiwemo wa  Madhehebu ya Dini, Serikali sambamba na wadau mbalimbali wa Uhifadhi mazingira

"Nimarufuku  suala hili lisimamiwe na likomeshwe kabisa. Tuache vyanzo vya maji vitumike kwa matumizi mazuri.hata kama utakuta gari langu pale limeandikwa RC Katavi,ukimkuta (Dereva) anaosha kule kamata hilo gari"

Katika kikao hicho kilichoongozwa na Mkuu wa Mkoa,wadau wamependekeza na kupitisha kila kaya kupatiwa miche 5 ya miti Kwa ajili ya kupanda ili kuendelea kutunza mazingira sanjari na kila Taasisi kupewa miche kuanzia 20, ikiongezeka kutokana na ukubwa wa Taasisi husika kama  Wakala wa Barabara Mkoa TANROAD,Wakala wa barabara Mjini na Vijijini TARURA, Mamlaka ya Usafia na Mazingira  RUWASA n.k

Kupitia mkakati uliozinduliwa Mwezi April wa "Ngarisha Katavi,tunza mazingira" katika kipengele cha mazingira kikizitaka kila Halmashauri kupanda miche Milioni 1.5 kwa kila mwaka,RC Mrindoko ameziagiza Halmashauri zote kutekeleza agizo hilo kwa kuanzisha vitalu visivyopungua miche hiyo kwa kuwa ni takwa la kisheria na sera ya mazingira.

Katika hatua nyingine,Mhe. Mrindoko amesainiana na kukabidhi mikataba ya Lishe na wakuu wa Wilaya za Mkoa huo lengo likiwa ni utekelezaji wa kupambana na lishe duni kuanzia ngazi ya Wilaya hadi ngazi ya kitongoji.

Kutokana na tathimini ya Sita ya Mwaka 2021 ya Lishe, Mkoa wa Katavi uko nafasi ya 14 Kitaifa huku,huku Wilaya ya Mlele ikiongoza kwa mkoa wa Katavi kwa kufanya Vizuri , sababu ya nafasi hiyo ikitajwa kuwa ni pamoja na Halmashauri za Mkoa huo kushindwa kutoa fedha za afua za Lishe kama ilivyoainishwa kwenye Bajeti na mipango.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATAALAMU

    June 03, 2025
  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa