• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

Posted on: May 26th, 2025

  HUDUMA ZA AFYA KUBORESHWA.

Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Sekta ya afya Halmashauri ya wilaya ya Mlele imepata msukumo mkubwa kupitia ujenzi na uboreshaji wa hospitali za wilaya karibu nchi nzima, kupitia ujenzi na uboreshaji wa hospitali za wilaya karibu nchi nzima.

Serikali imewekeza kiasi cha shilingi Bilioni 2.7 kwa awamu tofauati kwa ajili ya  kuboresha huduma za afya,jambo lililochochea upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi,hususani wanawake na watoto kwa wilaya ya mlele huduma zinaendelea kuimarika tofauti na kipindi cha nyuma.

Kupitia  fedha hizo,hospitali mpya ya wilaya imejengwa  Vituo vya Afya na Zahanati zimejengwa au kukamilishwa,,zikiwa na vifaa tiba vya  kisasa na huduma za uzazi salama,.Hali hii imepelekea kupungua kwa vifo vya mama wajawazito na watoto wachanga, na kuongeza upatikanaji wa huduma kwa wakati,hata Maeneo ya vijijini.

  Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ni moja ya Halmashauri  zilizonufaika na fedha hizo  ambapo ujenzi wa majengo umekamilika kwa gharama ya Shilingi Bilion 2.7 na yanatoa huduma    fedha nyingine zimetumika kwa ajili ya ununuzi wa vifaa Tiba

Kwa mjibu wa takwimu kutoka wizara ya Afya inasema zaidi ya akinamama 1,200,000 wamenufaika  moja kwa moja na huduma za uzazi,kliniki za mama na mtoto, na huduma za dharura tangu kuanza kwa utekelezaji wa maboresho hayo mwaka  2021Vituo vya afya vilivyoboreshwa sasa vinatoa  huduma kwa saa 24, hali iliyokuwa adimu hapo awali.

Kalunde Mahona ni mkazi  wa Ibelamafipa Kata ya Ilunde Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi

 anasema huduma alizopata katika hospitali mpya ya wilaya  ya Mlele zilinusuru maisha wakati wa kujifungua mtoto wake.

Anasema asingeweza kufika hospitali ya Mkoa iliyoko Zaidi ya kilometa 130 kwa wakati huo.Lakini hospitali ya wilaya ilikuwa karibu na niliweza kufanyiwa upasuaji wa dharura na mtoto wangu alizaliwa salama.anasema Mariamu kwa furaha.

Uongozi wa Rais Samia unaendelea kusisitiza uwekezaji kwenye sekta ya Afya kuwa ni msingi wa maendeleo ya Taifa.Kupitia program ya Tanzania  ya Viwanda na Afya bora kwa wote, serikali inalenga kuimarisha  Zaidi miundombinu,kuongeza watalaam wa afya na kuhakikisha dawa na vifaa tiba vinapatikana kwa uhakika

Maboresho haya ni sehemu ya dhamira ya rais Samia kuhakikisha kila mtanzania.bila kujali eneo anakoishi,anapata huduma bora za afya.Hii inaonesha wazi kuwa afya bora ni nguzo ya maendeleo endelevu.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa