• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mwenge wa uhuru waweka mawe ya Msingi miradi ya Maendeleo H/ Mlele.

Posted on: September 28th, 2022

Miradi yenye tija yawekewa mawe ya Msingi ,kuzinduliwa na kufunguliwa katika Halmashuri ya wilaya ya Mlele ambayo miradi yake imekuwa  bora kutokana na usimamizi mzuri .

Mwonekano wa majengo ya Kituo cha Afya Ilunde  nyumba za watumishi  ni miongoni mwa majengo  majengo yaliyowekewa mawe ya Msingi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2022 Sahili Nyanzabara wakati wa mbio zake  

 Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 zimepongeza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele pamoja na wananchi kwa ujumla kwa kutekeleza ipasavyo miradi iliyotembelewa na mbio za Mwenge uhuru, na miradi yote kukubalika ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo wananchi.

Pongezi hizo zimetolewa na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru Sahili Nyanzabara Septemba 24, wakati  Mwenge ukikimbizwa Wilaya ya Mlele na kutembelea miradi mitano iliyogharimu kiasi cha shilingi  3.096 bilioni ambayo ni  umewekaji jiwe la Msingi Kituo cha Afya Ilunde,Kata ya Ilunde,umewekaji jiwe la Msingi mradi wa maji Kanoge,umewekaji jiwe la Msingi ujenzi wa barabara  yenye urefu wa kilometa 3 iliyojengwa kwa kiwango cha lami, umeweka jiwe la Msingi ujenzi wa shule ya Sekondari Kamsisi.Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Filberto Sanga  ameshika mwenge wa Uhuru wakati Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya Jofrey Mhanja akisoma  Risala ya Utii kwa Mhe Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwenye mkesha wa mwenge Kata ya Ilunde.

 

Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele Mhe.Soud Mlolwa Mbogo akishika mwenge wa Uhuru wakati ikisomwa Risala ya Utii kwa Mhe Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwenye mkesha wa mwenge Kata ya Ilunde.

                                       Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi Teresia Irafay akipokea mwenge wa uhuru

Pia umezindua ujenzi wa Kiwanda cha  kutengeneza sabuni cha wajasiliamali  Vijana,  kutembelea na kuona shughuli mbalimbali katika mkesha wa mwenge.

Akitoa ujumbe wa Mwenge katika maeneo ya miradi Kiongozi huyo wa mbio za mwenge ameaagiza kumaliziwa kwa miradi ambayo inaendelea ikiwemo kuzingatia taratibu zote za usimamizi wa miradi,ushiriki  wa wataalam katika miradi ili kutoa ushauri wa kitaalam wakati wa utekelezaji wa miradi,ukamilishaji wa miradi kwa wakati.

Akiwa kwenye mradi wa maji Kijji cha Kanoge ameagiza  kujenga uzio kwenye  vituo vyote vya kutolea maji huku akiwataka wananachi kuwa na utamaduni wa kuvuta maji katika nyumba zao ili kutimiza dhana halisi ya kumtua mama ndoo kichwani.                             Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa uhuru 2022 Sahili Nyanzabara akagua sabuni zilizotengenezwa na kikundi cha ujasiliamali cha vijana alipomaliza kuzindua kiwanda hichoa  

Mmoja wa wakimbiza mwenge   Kitaifa Bi.Zadida  Abdalla Rashid akitoa ujumbe wa mwenge amesema ujumbe wa mbio za mwenge umezingatia hoja na vipaumbele sita ambapo umesisitiza juu ya umuhimu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kwa kauli mbiu ya Sensa ni Msingi  na Mipango ya Maendeleo,Sshiriki kuhesabiwa tyafikie Maendeleo ya Taifa.

 Mwananchi ambaye ni mlemavu  akishika Mwenge wa uhuru  huku akisaidiwa na Viongozi kama wanavyoonekana,mwenge wa uhuru  katika kijiji cha Ilunde na Hapo Kongozi wa mbio za Mwenge Sahili Nyanzabara akimpa mwenge aweze kuushika ambayo ni ishara ya upendo kwa mara ya kwanza mwenge kufika katika kijiji hicho tangu kuwepo kwa kijiji hicho kwa nyuma ni mkuu wa wilaya ya Mlele Mhe Filberto Sanga.

 

 ukiendele kuhamasisha Jamii kuhusu kuzingatia lishe bora,Mapambano dhidi ya rushwa,Mapambano dhidi ya VVU/Ukimwi, Mapambano dhidi ya Matumizi ya dawa za kulevya

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filberto Sanga amemshukuru Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa fedha za miradi inayoendelea wilayani Mlele huku akiwasihi  kuendelea kuilinda.

  Diwani wa Kata ya Ilunde Mhe Mgoloka aliyeshika Mwenge huku akishuhudiwa na Viongozi wenzake na Wananchi   waliojipanga kwa ajili ya kushika mwenge ulipokuwa katika  Kata  ya Ilunde ambapo  ni mara yake ya kwanza kufikiwa na  mbio za mwenge wa uhuru tangu kuanzishwa kwa Kata  hiyo.


Mwenge wa uhuru umekamilisha mbio zake katika wilaya ya Mlele salama kwa kukabidhiwa  katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo.

Imeandaliwa na Kibada Ernest -Kaimu kuu wa Kitengo cha Mawaisilisno Serikalini Mlele

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa