• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

Posted on: May 18th, 2021


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Diwani wa Kata ya Inyonga, Mheshimiwa Soud Mlolwa Mbogo akifungua Mkutano wa Baraza la Madiwani kujadili taarifa za robo ya tatu mwaka wa fedha 2020/2021.kikao kilichofanyika ukumbi wa Maktaba shule ya Sekondari Inyonga

MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI  HALMASHAURI YA MLELE,KUJADILI TAARIFA ZA ROBO YA TATU YA MWAKA WA FEDHA 2020/2021 LIFANYIKA KWA MAFANIKIO.

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele limefanya Mkutano wake wa Baraza kupitia na kujadili Taarifa za Kamati za Kudumu ya robo ya tatu mwaka wa fedha 2020/2021 pamoja na kupokea taarifa za Maendeleo ya Kata zilizowasirishwa na Wenyeviti wa Kamati ya Maendeleo ya  Kata  ambao ni Waheshimiwa Madiwani wa Kata husika.  

  Akifungua Mkutano huo wa Baraza la Madiwani Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mheshimiwa Soud Mlolwa  Mbogo amesema Mkutano huo ni wa kawaida kwa ajili kujadili na kupitia taarifa za kutoka kwenye Kamati za Kudumu kwa mstkabari na Maslahi ya wananchi wa Halmashauri ya Mlele na Taifa kwa ujumla.

 Taarifa zilizojadiliwa  zinatoka  Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ,Kamati ya Elimu Afya na Maji,Kamati ya Ujenzi Uchumi na Mazingira Pamoja na Kamati ya Kudhibiti Ukimwi.  

Katika kikao hicho Madiwani walijadili suala la Elimu hususani ukamilishaji na umaliziaji wa vyumba vya Madarasa,nyumba za walimu matundu ya vyoo pamoja naUjenzi wa Shule mpya za Sekondari katika Kata ya Utende itayopunguza kuwepo kwa msongamano wa wanafunzi kwenye Shule mama ya Sekondari ya Utende.

 Kutokana na kuwepo kwa wanafunzi wengi kwenye shule za Msingi zilizopo kwenye katika Kata hiyo na wanafunzi wanapomaliza hujiunga katika shule ya sekondari Utende ambayo inaupungufu wa mahitaji ya vyumba vya madarasa.

Mheshimiwa Deus Bundala ni Diwani wa Kata ya Utende anazungumzia uwepo wa mahitaji zaidi ya ujenzi wa shule  ya Sekondari katika kata yake kutokana na uhitaji zaidi kulingana na msongamano wa watoto wanaotarajia kumaliza elimu ya Msingi mwakani jambo ambalo kama hakutakuwa na shule nyingine katika Kata hiyo hali ya Msongamano wa wanafunzi utakuwa mkubwa.

Mbali na Sekta ya Elimu,Pia sekta ya Maji,kilimo,miundombinu ya barabara, sekta ya mifugo, sekta ya Afya  zilijadiliwa kwa mapana na urefu, ilijadiliwa hasa katika ukamilishaji wa Jengo la upasuaji lililojengwa kwa zaidi ya shilingi milini 200 wajumbe walitaka kufahamu lini litaanza kutoa huduma.

Dr Thadeus Makwanda ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele alieleza kuwa huduma zitaanza kutolewa pindi ukamilishaji wa ujenzi utakapokuwa umekamilika ambapo kwa sasa uko hatua za mwisho mwisho na ujenzi huo umekamilika kwa zaidi ya asilimia 90,na imebakiaukamilishaji wa mambo madogo madogo ya kiutaalam ili huduma zainze kutolewa.

Waheshimiwa Madiwani walichakata hoja zilizowasilishwa mbele yao kwa mapana na marefu kwa kuanza maswali na majibu ya papo kwa papo kupatiwa majibu    pamoja na maswali ya nyongeza.

  Katibu  wa Mkutano huo wa Baraza la Madiwani  ambaye alikuwa  Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri  aliwataka Watumishi kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na taratibu na miongozo ya kiutumishi ili kufikia malengo waliyojiwekea.

Akifunga Mkutano huo wa Baraza la Madiwani  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mhe.Soud Mbogo amwaasa Madiwani wakasimamie maaendeleo kwenye Maeneo yao ya utawala ikiwa ni pamoja na ukusanyaji wa Mapato washirikiane na watendaji kuhakikisha mapato yanasanywa na kujenga mshikanao na mahusiano mazuri katika utendaji kazi, yale yote yaliyoazimiwa yakatelekezwe kwa mstakabali wa Halmashauri na Taifa.

MWISHO.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa