• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Naibu wa Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Ziarani Mkoa wa Katavi

Posted on: July 6th, 2023

.Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  Injinia  Kundo Mathew    wakati akizungumza na watumishi  na Wajumbe  wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mlele kwenye ukumbi wa Mikutano Jengo la   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

Na Kibada Ernest –Mlele.

Julai 6' 2023

 Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kufuta tozo katika miamala ya simu ili kuwapunguzia gharama za maisha wananchi wa Tanzania

Hayo yameelezwa  na Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  Injinia  Kundo Mathew    wakati akizungumza na watumishi  na wajumbe  wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mlele kwenye ukumbi wa Mikutano Jengo la   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

  Naibu  Waziri Injinia Kundo amesema Rais Dkt.  Samia Suluhu  Hassan  ameriadhia ombi la Wizara hiyo chini ya Waziri Nape Moses Nnauye la kufuta tozo katika miamala ya simu ili kuwapunguzia wananchi gharama  walizokuwa wakizipata wakati wa kutuma au kutoa fedha.

Naibu Waziri  amebainisha hayo   Julai 4’  mwaka 2023 akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo kukagua na kutembelea shughuli zinazotekelezwa na wizara yake katika mikoa ya Rukwa na Katavi kasha kupata nafasi ya kuzungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele.  

“Fahari ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan  kuwa Rais ni pamoja na kuwasikiliza watanzania na wananchi anaowaongoza,ndio maana ameruhusu na kutoa maelekezo ya moja kwa moja kuondoa tozo katika miamala ya simu”alisema Injinia Kundo.

“Rais wetu kipenzi Mkuu wa  nchi ameruhusu na kutoa  maelekezo tozo inayotokana na miamala ya simu iondolewe,hakutokuwa na tozo kwenye miamala ya simu, ile tozo mliyokuwa mnasema Rais ameshapangua huyo ndiye mwana Mapinduzi halisi wa  Maendeleo ya Taifa letu.

Aidha ameeleza kuwa kila mtu kwenye familia yake ajue kwamba kuondoka kwa tozo hii ambayo ulitakiwa ukatwe  kuanzia labda shilingi elfu  moja au elfu nne au tano   hiyo fedha haujanunua mboga jamani? Alieleza Naibu Waziri

Ni Rais mmoja tu ambaye ameona uchungu wa watu wake na sisi tumuunge mkono Rais wetu kila mmoja akapeleke ujumbe huo kwa mwenzake,amesema Naibu Waziri Injinia Kundo.

Katika hatua nyingine Naibu Waziri amepongeza Halmashauri ya  Wilaya ya Mlele na  Mkoa wa Katavi  kwa ujumla jinsi walivyoshughulikia zoezi la Anwani za Makazi na kufanikisha zoezi hilo kwa ubora wa hali ya juu

 Hivyo namstahiri kupongezwa kwa kazi  nzuri na kubwa iliyofanyika kilichobakia sasa na kuwaelimisha wananchi kuwa shughuli zote za kupatiwa huduma kama kujaza fomu mbalimbali lazima utumia anwani za makazi tuendelea kuelimisha wananchi..

Amewataka watumishi waendelea kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa ili kumsaidia Mhe Rais.

Mapema akiongea kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Mkuu wa Wilaya ya Mlele Alhaj Majid Mwanga aliwatakata  watumishi kuendelea kuchapa kazi kwa weledi Zaidi  ili kumsaidia Mhe.Rais kuwaletea maendeleo na wananchi na akasisitiza kuwa wataendelea kumsaidia kuhakikisha wananchi wa Mlele wanapata Maendeleo

Kisha akashughuli kwa jinsi anavyoenedlea kuwajali wananchi wa wilaya hiyo kwa kuleta fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha miundombinu mbalimbali,mfano ujenzi wa vyumba vya madarasa katika sekta ya elimu,Sekta ya Afya,Maji,barabara umeme na huduma nyingine za Jamii.

Naye Mwenyekiti  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Soud Mbogo kwa niaba ya wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele na waheshimiwa Madiwani  alishukuru kwa jinsi Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Suluhu Hassani inavyojali wa wananchi wa Mlele. na kuwapa kipaumbele katika kuleta fedha kwa ajili ya huduma mbalimbali za maendeleo.

 Mwisho

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA WAKATI WA ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILINO WILAYA YA MLELE.

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Alhaj Majid Mwanga akiongea na watumishi wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  Injinia  Kundo Mathew   aliyoifanya kwenye Mikoa ya Rukwa na Katavi katika wilaya ya Mlele alikutana  na watumishi  wa Halmashauri, na Wajumbe  wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mlele kwenye ukumbi wa Mikutano Jengo la   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Mwenyekiti  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  Mhe.Soud Mbogo akitoa neno la Shukurani kwa niaba ya wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  kwa jinsi Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt Suluhu Hassani inavyojali wa wananchi wa Mlele. Kuendelea kuwapa kipaumbele katika kuleta fedha kwa ajili ya huduma mbalimbali za kijamii na miradi ya  maendeleo.

Watumishi   wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  Injinia  Kundo Mathew wakati akizungumza nao  kwenye ukumbi wa 

Mikutano Jengo la   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele alipofanya ziara Mkoa wa Katavi Hayupo PICHANI

Upande wa   kushoto kwa Naibu waziri ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi.Teresia Irafaya akiwa ni mwenyeji wa Naibu waziri wakati akiwasikilisha watumishi wakijitambulishaalipokuwa akizungumza nao  wakati wa ziara yake wilaya ya Mlele Mkoa wa Katai kukagua shughuli za maendeleo zinazotekelezwa na Wizara yake hawapo pichani.

.   Wajumbe  wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mlele wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  Injinia  Kundo Mathew wakati akizungumza nao  kwenye ukumbi wa Mikutano Jengo la   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele alipofanya ziara Mkoa wa Katavi Hayupo PICHANI

Watumishi   wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  katika Picha Tofautitofauti wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  Injinia  Kundo Mathew wakati akizungumza nao  kwenye ukumbi wa 

Mikutano Jengo la   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele alipofanya ziara Mkoa wa Katavi Hayupo PICHANI

       Watumishi   wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele  katika Picha Tofautitofauti wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  Injinia  Kundo Mathew wakati akizungumza nao  kwenye ukumbi wa 

Mikutano Jengo la   Halmashauri ya Wilaya ya Mlele alipofanya ziara Mkoa wa Katavi Hayupo PICHANI


                                                                                                                (Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.)..


 





Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa