• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Neema ya Mgao wa Bil 1.5 kuwanufaisha watanzania

Posted on: June 28th, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 21 Juni, 2018 amepokea gawio la Serikali la Shilingi Bilioni 1.5 kutoka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) na amezindua upanuzi wa huduma zake nchini.

Hafla ya kupokea gawio na kuzindua huduma hizo imefanyika katika ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mnyaa, Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama na viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Bw. Paul Makonda.

Katika hafla hiyo Mhe. Rais Magufuli pia amezindua huduma ya mikutano mtandao (Video Conference) kwa kuzungumza moja kwa moja kupitia luninga na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Idd akiwa Zanzibar na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwa Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa jitihada kubwa alizozifanya kuiimarisha TTCL katika kipindi kifupi cha tangu aingie madarakani hali iliyoiwezesha TTCL iliyokuwa inapata hasara, kuzalisha faida ya Shilingi Bilioni 28.5 na hivyo kutoa gawio la Serikali la Shilingi Bilioni 1.5.

Bw. Kindamba amebainisha kuwa kwa hivi sasa TTCL inajiendesha yenyewe, inalipa kodi za Serikali na katika kipindi kifupi imefanikiwa kuanza kutoa huduma za mawasiliano kwa teknolojia ya kisasa na kwa gharama nafuu ikiwemo huduma ya data (4G, 3G na 2G), huduma za kifedha kwa njia ya simu (T-Pesa), mikutano mtandao (Video Conference) na mawasiliano ya simu kupatikana nchi nzima.

Nae Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Mhandisi Omary Nundu amesema juhudi kubwa zilizofanyika zimeiwezesha TTCL iliyopata hasara ya Shilingi Bilioni 19 mwaka 2015/16 kuzalisha faida ya Shilingi Bilioni 28.5 mwaka 2017/18, zimetoa fundisho kuwa mashirika ya umma yanaweza kuzalisha faida na hivyo amemuahidi Mhe. Rais Magufuli kuwa bodi yake itasimamia ipasavyo maendeleo ya shirika hilo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Suleiman Kakoso amempongeza Mhe. Rais Magufuli kwa jitihada zake za kuifufua TTCL na kufuatilia hisa za Serikali asilimia takribani 40 zilizopo katika kampuni ya simu ya Airtel, na amemuahidi kuwa Wabunge watamuunga mkono katika juhudi za kuiimarisha TTCL na mashirika mengine ya umma.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mnyaa amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa Serikali kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 14.9 kwa ajili ya kununua hisa za TTCL zilizokuwa zikimilikiwa na mbia (Bharti Airtel) na hivyo kuliwezesha shirika hilo kuwa mali ya Serikali kwa asilimia 100, na kusamehe deni la takribani shilingi Bilioni 100, hali ambayo imeiwezesha TTCL kusimama na kupiga hatua za haraka.

Katika hotuba yake Mhe. Rais Magufuli ameipongeza TTCL kwa mafanikio makubwa iliyoyapata katika kipindi kifupi na amesema gawio la Shilingi Bilioni 1.5 lililotolewa kwa Serikali katika kipindi cha miaka 2 limeonesha kuwa kwa miaka 17 ambayo TTCL haikutoa gawio na ilikuwa ikipata hasara na kulikuwa na upotevu mkubwa wa fedha.

Ameipongeza bodi ya TTCL na wafanyakazi kwa kuchapa kazi kulikowezesha mafanikio makubwa ya shirika ikiwemo kuongeza wateja wa simu kutoka 247,000 hadi 800,000, na kwa namna ya pekee amempongeza Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba kwa kudhirisha kuwa vijana wakipewa nafasi wanaweza kuleta mageuzi yenye manufaa makubwa kwa Taifa.

Mhe. Rais Magufuli amemuagiza Msajili wa Hazina Bw. Athumani Selemani Mbuttuka kuhakikisha taasisi zote 91 zinazopaswa kutoa gawio la Serikali zinafanya hivyo na zitakazoshindwa achukue hatua stahili.

“Kwa sasa ni chini ya mashirika 50 kati ya 91 ndio yanatoa gawio kwa Serikali, mathalani mwaka 2014/15 ni mashirika 24 tu ndio yalitoa gawio la shilingi Bilioni 130.7, mwaka 2015/16 mashirika 25 yalitoa gawio Shilingi Bilioni 249.3 na baada ya kuanza kuyabana mwaka jana 2016/17 mashirika 38 yalitoa gawio Serikalini lenye thamani ya Shilingi Bilioni 677” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Spika wa Bunge Mhe. Job Yustino Ndugai na Wabunge wote kwa ushirikiano wao, na amesema anaamini kuwa mapendekezo ya kuanzisha Akaunti Jumuifu ya Serikali (Treasury Single Account – TSA) ambayo itasaidia kudhibiti fedha za Serikali kwa kupunguza idadi ya akaunti za Serikali kutoka 1,013 hadi takribani akaunti 100, yatapitishwa.

 

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa