• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

NINA FURAHI NINAPO KUJA MLELE DC KWA KUWA MNAFANYA VIZURI KATIKA KILA JAMBO-RC AMOS MAKALA.

Posted on: January 16th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mheshimiwa Amosi Makala amefurahishwa na jitahada zinazofanywa na viongozi wa Halmashauri ya Mlele leo hii wakati wa shughuli ya kusafisha Eneo itakapojengwa Hosipitali ya Wilaya ya Mlele mjini Inyonga.

Nimejaribu kutafuta madhaifu katika mchakato huu wa ujenzi wa Hospitali ya wilya lakini sijaona dosari yoyote mpaka sasa  eneo ni zuri lina vigezo vyote vinavyohitajika alisema Mheshimiwa Amosi Makala, inaonekana ni jinsi gani mnajitoa katika shughuli za kuleta Maendeleo, nimewaona mara nyingi katika ya awamu ya kwanza na awamu ya pili wakati wa ujio wa Mheshimiwa Mbunge wenu ambaye pia ni waziri wa Ujenzi.

Mheshimiwa Amosi Makala amefanya ziara hiyo kwa lengo la kushiriki katika shughuli ya maandalilizi ya Eneo la ujenzi wa hosipitali hiyo pamoja na kuona maendeleo ya shule ya sekondari Inyonga. Amesema ni jambo zuri kila mwananchi kushiriki katika ujenzi huo kwa kuwa Mheshimiwa Raisi wetu ametoa Tsh 1.5 bilioni kwa kila Wilaya iliyopo Tanzania ili kupata hospitali za wilaya na kusogeza huduma hiyo kwa wanachi.

Wilaya ya Mlele ni wilaya iliyopata bahati ya kipekee kupewa Hospitali 2 kwa wakati mmoja yaani halmashauri zote zitakuwa na Hospitali za Wilaya. Tuendelee kujitoa kwa moyo ili fedha zilizoletwa ziweze kujitosheleza. Tunatakiwa kuwatumia mafundi wetu wa kawaida kujenga Hospitali nzuri kwa gharama nafuu.

Baada ya kufanya kazi pamoja na wananchi Mheshimiwa Mkuu wa mkoa wa Katavi aliekea katika shule ya sekondari kutembelea ujenzi wa madarasa ya kidato cha kwanza, ujenzi unaendelea vizuri, hivyo kusisitiza kuwa anataka kuona wanafunzi wote wakwa wameripoti shuleni,

Akitoa maelezo Afisaelimu Sekondari Mwl Kunambi mbele ya wanafunzi wa shule hiyo, wakati mkuu wa mkoa akijianda kutoa hotuba yake, alisema kwamba mpaka sasa wanafunzi 140 wameripoti shuleni kati ya wanafunzi 283 ambao wamepangiwa kujiunga na shule hiyo.

Mheshimiwa Amosi makala aliwaasa wanafunzi kusoma kwa kwa bidii na kuachana na dhana ya kujiingiza na mambo ya mapenzi ambayo yatarudisha nyuma maendeleo yao. Aliwahamasisha kwa kueleza namna ambavyo yeye alijituma katika masomo na kufika alipofikia sasa.

Aliwaagiza wazazi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kuhakikisha wanafunzi wanafika shuleni mara moja. Alisisitiza kwamba wafike na nguo walizosomea shule za msingi wakati wanataftiwa sare za sekondari. Aliagiza kwamba mzazi ambaye hata mleta mototo shuleni atapelekwa mahakamani kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Mwisho alihitimisha kwa kusikiliza kero ya wanafunzi ya mazingira chakula yalivyo kuanzia maandalizi mpaka mahali pakulia chakula. Hatahivyo alimuagiza kaimu Mkurugenzi kumfikishia Mkurugenzi Mtendaji na kutafuta suluhu ya kero hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa