• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

picha ya kuonesha makabidhiano ya. vifaa tiba kati mkurugenzi n mganga mkuu wa kituo cha afya inyonga.

Posted on: October 17th, 2020

 

Kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia Taasisi ya Vodacom Foundation wamesaidïa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya  shilingi milioni 40 katika Kituo cha Afya Inyonga Halmashauri ya Wilaya yaMlele,ili kusaidia juhudi za kuhakikisha watoto wanaozaliwa jiti katika Wilaya hiyo wanaishi.

Katika taarifa yake aliyoitoa kwa mgeni rasmi wakati wa kukabidhi vifaa hivyo  Mkurugenzi  wa Mawasiliano  Vodacom Tanzania  Roselyn Mwori amesema takwimu zinaonesha kuwa kila mwaka watoto milioni 15 wanaozaliwa kabla ya wa kati yao, kusini mwa Jangwa  la Sahara na Tanzania ikiwamo,ambapo watoto milioni moja  hufariki  kwa kukosa huduma muhimu.

Vodacom Tanzania imekwa mstari wa mbele kuchangia vifaa tiba katika vituo vya Afya na Hospitali hapa nchini,ili kuokoa maisha ya watoto njiti.

 ‘’Watotô njiti wana nafasi kubwa ya kuwa  na afÿa nzuri bila ulemavu  ëndâpo watapata msaada wa vifaa na usimamizi wa afya kuzingatiwa, na ndiyo maana sasa Vodacom Tanzania Foundation tunafura sana, kuwa sehemu ya kuchangia kuhakikisha watoto njiti nchini wanaishi alisema  Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania.

Akipokea Vïfaa hivyo kwa niaba yaSerikali, Mkuu wa Wilaya Tangänyika Salehe Mhando ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Mlele  ameishukuru  Vodacom Foundation kwa kuunga  juhudi za Serikali kuokoa maisha ya watoto njiti.

Mhando amesema  msaada huu umekuja ndani ya muda mwafaka,kisha amewahakikishia  kuwa  vifaa hivyo vitatunzwa na  kulindwa, na vitafanya kazi iliyokusudiwa ya kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda, amesema  ujio wa vifaa hivyo vitaleta tija na kuleta matokeo chanya.

Naye Mbunge wa Jimbo la Katavi wilaya mlele aliyemaliza muda wake, ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe ameshukuru Vodacom kwa kutoa vifaa hivyo ambavyo vitasaidia kwa njia moja au nyingine kuokoa vifo vilivyokuwa vikitokea, kwenye kituo hicho cha Afya Inyonga, walianza kufanya upasuaji tangu mwaka 2016 kupatikana vifaa hivyo vifo vilivyokuwa vikitokea vitapungua.

Kwa upande wake Mkurugenzi Alexuis Kagunze ameshukuru kwa msaada uliotolewa kwa vifaa hivyo hasa kwa juhudi kuwa ya kuokoa maisha ya watoto njiti,kwa msaada huo wamewajali sana amewashukuru sana,kasha hakusahau kwashukuru watumishi wote wa idara ya afya pamoja na kuwa wachache wanachapa kazi kwa moyo mmoja,hivyo vifaa hivyo anamatumaini watavinza na vitadumu.

Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na vifaa vya oksijeni (Oxygen Concentrator),ambavyo vitasaidia  watoto njiti kupumua,Termometers,, weighing scales for infants,40 branded bed sheets, baby warmer suction machines, ambubag with facemasks for infants feeding tubes, phototherapy machine na vitanda vitano vifaa vyote vikiwa na thaani ya shilingi milioni 49.


Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa