• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

RC KATAVI

Posted on: June 5th, 2021

Maelezo ya  Picha.

 Mkuu wa   Mkoa wa  Katavi  Mheshimiwa Mwanamvua Hoza Mrindoko akipatia maelezo na Afisa Nyuki wa Halmashauri Jackson Kizeze Hayupo Pichani anamweleza namna kiwanda cha kuchakata asali knavyofanya kazi muda mfupi baada ya kukagua ukarabati wa kiwanda hicho sasa anakagua mashine zinazotumika katika kuchakata asali kama anavyoonekana.


RC-KATAVI ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MLELE.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mheshimiwa  Mwanamvua Hoza Mrindoko amefanya ziara kutembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mlele,katika ziara hiyo alikagua miradi ya maendeleo,kwa kuanza na ukaguzi wa Jengo la upasuaji kituo cha Afya Inyonga B’jengo lillilojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 200,ukarabati mkubwa wa Kiwanda cha kuchakata asali na Nta,ukarabati uliogharimu kiasi cha shilingi zaidi ya milioni 150,ujenzi wa Jengo la utawala na ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ambapo alikagua baadhi ya majengo yanayoendelea kujengwa baada ya serikali kutoka shilingi milioni 500 zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa majengo mabalimbali yaliyosalia ambapo Mkuu huyo aliridhishwa na utekelezaji wa kazi zinazoendelea kufanyika.

Mbali ya ukaguzi wa Miradi pia alipata nafasi kukutana na watumishi wa umma na kuwasisitiza kufanya kazi kwa bidii na ueledi mkubwa ili kufikia adhima ya Serikali ya awamu ya sita ya kuchapa kazi kwa bidii ili kuwaleteea maendeleo wananchi,chini ya kauli mbiu isemayo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee..

Pamoja na kuzungumza na watumishi pia alipata nafasi ya kufanya  mkutano wa hadhara na kuzungumza na wananchi  kisha kutoa maelekezo mbalimbali moja  ya mambo aliyoelekeza ni kuendelea kudumisha suala la ulinzi na usalama katika jamii,kuheshimu sheria za nchi kujiepusha na migogoro ya ardhi ,kila mmoja aheshimu eneo la mwenzake na kutokuvamia maeneo yaliyotengwa ya hifadhi za mistu.

Mambo mengine aliyosisistiza ni elimu wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii ilyoboreshwa,kuhakikisha wanafunzi wanaenda shule, pamoja na kujiepusha na  migogoro ya mipaka kati ya wananchi na Wakala wa huduma za Mistu TFS inapatiwa ufumbuzi kwa kuweka mipaka ya maeneo na wananchi katika vijiji na kusisitiza wananchi waliopimiwa maeno ya ujenzi wapatiwe mapema na suala la upungufu wa watumishi hasa katika kada ya elimu na Afya atalifuatilia na kujaribu kusumkuma ili kupatiwa ufumbuzi.

Mapema Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mwalimu Alexius Kagunze katika Taarifa yake kwa Mkuu wa Mkoa alieleza jinsi Halmashauri inavyotekeleza miradi ya Maendeleo kwa kushirikiana na wadau mbalmbali wa maendeleo.

Mambo mengine ni changamoto ya uwepo wa watumishi katka halmashauri alieleza kuwa upo upungufu mkubwa wa watumishi katika halmashauri hiyo, lakini waliopo wanachapa kazi kwa kujituma zaidi na alitolea mfano kuwa Afisa ardhi wilaya nzima yupo mmoja tu na hata Idara nyingine zina upungufu mkubwa wa watumishi kama Idara ya Mifugo wapo wawili na nyingine mmoja hata hivyo walishaandika barua utumishi kuomba kibali cha kuajiri akamuomba Mkuu wa Mkoa kusaidia katika hilo.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa