• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

RC KATAVI

Posted on: June 30th, 2021


Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Hoza Mrondoko akitoa maelekezo kwa Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele wakati wa kufunga Mkutano wa Baraza la Madiwani uliokuwa kwa ajili ya kupitia na kujadili Hoja za Mkaguzi na Mdhibiti wa Hoja za Serikali uliofanyika ukumbi wa Makitaba Shule ya Sekondari Inyonga.



HALMASHAURI  YA WILAYA YA MLELE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

KATIKA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI LA KUJADILI   HOJA ZA UKAGUZI  NA MDHIBITI WA HESABU ZA SERIKALI.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Hoza Mrondoko ameipongeza halmashauri ya Wilaya ya Mlele kwa kupata hati safi kwa mjibu ya taarifa ya  Mkaguzi na Mdhibiti wa Mkuu wa Hesabu za Serikali iliyowasilishwa kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani kujadili Hoja zilizoibuliwa katika ukaguzi wa mwaka uliopita.

 Mhe Mkuu wa Mkoa Mrondoko amepongeza kwa hatua hiyo ya kupata hati safi kisha akashauri kujiepusha na kuwepo na hoja za mara kwa mara.aidha ameziagiza Halmashauri zote Mkoani huo kuhakikisha zinazigatia taratibu na sheria katika matumizi ya fedha ili kujiepusha na upatikanaji wa hati chafu.

Mhe.Mrindoko amesema hatomuonea aibu mtu yeyote atakayesababisha kupatikana kwa hati chafu kwenye Mkoa wake, atawajibika bila kumwonea huruma.

Mapema Mkaguzi wa nje wa Mkoa wa Katavi Mohamed Msangi akiwasilisha taarifa za fedha  za ukaguzi za mwaka uliopita ameeleza kuwa Halmashauri ya Mlele imefanikiwa kupata hati safi ambapo kwa kipindi cha miaka mitano mfululizo imefanikiwa kupata hati safi katika ukaguzi wake wa  mahesabu hivyo kitendo hicho ni cha kupongezwa na kuigwa na Halmashauri nyingine..

 Akifungua Mkutano huu wa Baraza la Madiwani  Mhe.Soud Mbogo ambaye ni  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya  Mlele ,amesema pamoja na halmashauri kupata hati safi lakini lazima kuhakikisha ushirikiano uliopo unaendelea ili kuendelea kupata hati safi, na miradi yetu lazima tuisimamie kwa ueledi zaidi ili thamani ya fedha iweze kuonekana.

Amesema wao kama Waheshimiwa Madiwani watajitahidi kutoa ushirikiano wa karibu kwa watalaam na kuendelea kuwahamaisha wananchi kujitolea katika kuchangia nguvu zao kwenye shughuli za maendeleo ili mlele iweze kuwa moja ya Halmashauri za kuigwa.

Mapema Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Mwl.Alexuis Kagunze alieleza jinsi Halmashauri hiyo inavyofanya kazi katika kuhakikisha wanajiepusha na upatikanaji wa hati chafu na juhudi za kuongeza mapato ambapo kwa mwaka huu wa fedha Halmashauri imefanikiwa kuwa moja ya halmashauri zinazoongoza katika Mkoa wa Katavi  kwa ukusanyanji wa Mpato kwa kuvuka lengo walilojiwekea kwa asilimia mia moja.

Amesema  waliweka lengo la kukusanya milioni 700 kutoka kwenye  mapato ya ndani lakini hadi kufikia juni mwaka huu walikuwa wamefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni moja na kidogo juhudi hizo ni kutokana na ushirikiano uliopo kati ya waheshimiwa madiwani,watalaam na wananchi wote wa Halmashauri kwa ujumla pamoja na uchache wa watumishi waliopo lakini wanajitahidi kufanya kazi kwa ueledi juhudi na maarifa ili kuleta maendeleo katika Halmashauri na Taifa kwa ujumla.

 Akiongea wakati katika MKutano huo wa Baraza la Madiwani,  Mkaguzi wa  nje wa  Hesabu za Serikali Mkoa wa Katavi Mohamedi Msangi ameeleza kufurahishwa na juhudi zilizofanyika kwa halmashauri ya wilaya ya Mlele katika ufungaji wa mahesabu ya Mwaka uliopita wataalam  walitoa ushirikiano wa kutosha  katika kuhakikisha  ukamilishaji kwa muda zoezi la ukaguzi linafanikiwa.ameshauri ushirikiano huo uendelee.

 

MWISHO.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATAALAMU

    June 03, 2025
  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa