• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

RC KATAVI ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA

Posted on: October 23rd, 2018

RS KATAVI ASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA ILUNDE……………23/10/2018

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Amos Gabriel Makala atoa wiki mbili kwa uongozi wa Wilaya ya Mlele chini ya Mkurugenzi Mtendaji kubaini eneo la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya.

Amesema serikali imetenga jumla ya shilingi milioni 500 za ujenzi wa hospitali ya Wilaya na fedha hiyo imekwishaingizwa katika akaunti ya Mlele hivyo haoni sababu ya kuchelewesha ujenzi wa hospitali kwa kisingizio cha kutoandaa eneo huku wananchi wakipata shida mbalimbali kwa kukosa huduma.

Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo wakati akiwa katika ziara ya kikazi kata ya ilunde iliyopo wilaya ya mlele kukagua eneo ambalo limetengwa kujenga kituo kikubwa cha afya na kuongea na wananchi kupitia mkutano wa hadhara.

Amos Makala ameshiriki ujenzi wa kituo hicho akiwa na wananchi wa eneo hilo na kuwapongeza wananchi kwa kujitolea kuharakisha ujenzi ambapo hadi sasa ufyatuaji wa tofali za block na uchimbaji wa mchanga unaendelea kwa jitihada za wananchi na viongozi wao…

Ameongeza kuwa serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi milioni 400 kwa ajili ya ujenzi wa majengo matano na kwamba fedha hiyo inaweza ikajenga zaidi ya majengo hayo lengo likiwa ni kuhakikisha waanchi wanapata huduma kwa haraka na ukaribu.

Kuhusu tatizo la barabara ya Inyonga- Ilunde na Inyonga – Tabora amewataka Tanroad kwenda kata ya Ilunde washirikiane na viongozi wa kata hiyo ili waweze kufanya matengezo maeneo korofi kabla ya kipindi cha mvua kuanza hivyo hivyo barabara ya Inyonga- Tabora amewataka Tanroda kumwelekeza mkandarasi kushughulika na maeneo korofi ili kipindi cha mvua barabara iweze kupitika na shuguli nyingine zienedelee.

Rachel kasanda ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele ambaye pia amesisitiza ushiriki wa wananchi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo kwamba mwananchi anaposhiriki moja kwa moja inampa fursa ya kuutunza mradi huo kwa uchungu “ tunawaomba wananchi serikali inapoleta miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yenu tushirikiane kwa umoja na si kukaa pembeni na kuwa watazamaji tu haitakuwa na maana na hakutakuwa na mtu ambaye ataona uchungu endepo mradi huu utaharibiwa” amesema Mkuu wa Wilaya ya Mlele.

Diwani wa kata hiyo Martin Mgoloka aelezea furaha na kuanza kwa ujenzi wa kituo hicho na ujio wa mkuu wa Mkoa wa katavi kwa mara kwanza “kwa niaba ya wananchi nipendea kukupongeza kwa ujio wako imetupa faraja ya kutembelea na Mkuu wa mkoa katani kwetu kwa mara kwanza tangu ulifika mkoani kwetu ni faraja sana, pili nitoe shukrani kwa wananchi na viongozi wa Mlele kuona umuhimu wa kuwa na kituo cha afya tuaahidi kufanya kazi kwa bidii..

Kata ya Ilunde ni kata mojawapo kati ya Kata sita za Halmashauri ya Wilaya ya Mlele na inaumbali wa zaidi ya kilometa 60 kutoka yalipo makao makuu ya Wilaya ya Mlele Inyonga, adha inayowakumba ni pamoja na barabara, kukosa mawasiliano kabisa, maeneo ya makazi na kilimo.

 

AFISA HABARI H/W MLELE

SUZAN KANENKA

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa