• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

RC KATAVI ATUNUKU CHETI CHA USHINDI KWA DED MLELE.

Posted on: September 2nd, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko akimtunuku cheti cha Mshindi wa kwanza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi.Theresia Irafay kwa Halmashauri yake kuibuka kidedea katika ukusanyaji wa mapato Mwaka wa fedha 2021/2022 katika Ukumbi wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani ukitwa ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpanda(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini).  


Na Kibada Ernest -Mpanda.

Halmashauri ya wilaya ya Mlele imeibuka kidedea katika ukusanyaji wa Mapato kwa mwaka wa fedha 2021/2022 huku Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko akizipongeza Halmashauri na Taasisi mbalimbali mkoani humo kwa kufanikisha Mkoa huo kufikia na kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Mhe.Mrindoko ametoa pongezi hizo katika kikao cha Tahmini ya utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mkoa kilichokutanisha Taasisi mbalimbali za Serikali Mkoani humo kwa lengo la kutathmini utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha 2021/2022 katika ukumbi wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.

Mhe.Mrindoko amezitaka Halmashauri Mkoani Katavi pamoja na Taasisi mbalimbali zinazohusika katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali kutobweteka kwa pongezi na badala yake kuongeza juhudi zaidi za ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Akiwasilisha Taarifa ya tahmini ya mapato ya ndani ya Halmashauri kimkoa Katibu Tawala msaidizi sehemu ya usimamizi wa Serikali za Mitaa Florence Crisant ameeleza kuwa hadi kufikia 30 Juni 2022 Halmashauri za Mkoa wa Katavi kwa mwaka wa fedha 2021/2022 zilikuwa zimekusanya jumla ya Shilingi Bilioni 13.6 sawa na Asilimia 112 ya Makisio ya shillingi Bilioni 12.1.

Taarifa hiyo imezitaja Halmashauri 3 kati ya 5 za Mkoa wa Katavi kuvuka Malengo ya ukusanyaji ikiongozwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ambayo imekusanya shilingi 1, 774,087,421 sawa na Asilimia 185 ikivuka lengo lake la mwaka la makusanyo ya Shilingi 957,000,000 katika mwaka wa fedha 2021/2022.

Halmashauri zingine zilizovuka malengo ya ukusanyaji wa mapato ni pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe ambayo imefanikiwa kuvuka lengo la makusanyanyo ya mwaka ya Shilingi 1,973,554,176 kwa kukusanya Shilingi 2,540,837,091 sawa na asilimia 129 ikishika nafasi ya Pili huku Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo ikivuka malengo ya mwaka wa fedha 2021/2022 ya Shilingi 1,191,000,000 na kukusanya Shilingi 1,421,815,380 ikishika nafasi ya tatu.

Aidha Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika imeshika nafasi ya nne ikitembea ndani ya makisio yake kwa kukusanya Shilingi 4,452,617,530 sawa na Asilimia 100 ikifuatiwa na Manispaa ya Mpanda nafasi ya tano ambayo imekusanya Asilimia 97 ya Makisio ya Shilingi 3,577,000,000.

Aidha katika Kikao hicho Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoani Katavi pia katika Taarifa yake ilionyesha kuvuka lengo kwa ongezeko la Asilimia 32 kwa kukusanya zaidi ya Shilingi Bilioni 8 kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Kwa upande wa Sekta ya Madini Ofisi ya Afisa Madini Mkazi katika taarifa yake ilionyesha kuvuka malengo ya ukusanyaji kwa kukusanya Shilingi 6, 256, 198, 091.67 sawa na Asilimia 131.71 ukilinganisha na lengo la mwaka la makusanyo ya Shilingi Bil.4.75.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa