• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

RC KATAVI AWATAKA WANANCHI KUDUMISHA MUUNGANO

Posted on: April 29th, 2023

                             Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.. Mwanamvua Hoza Mrindoko akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Katavi wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye uwanja wa Sharp Rangers Kata  ya Usevya Halamashauri ya Mpimbwe 


  Na Kibada Ernest Mlele-Katavi                                         APRIL 29, 2023

MKOA WA KATAVI WAADHIMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO KWA STAIRI YA KIPEKEE  KWA KUFANYA SHUGHULI MBALIMBALI ZA MAENDENDELEA HUKU WAKISISITIZWA  KUDUMISHA MUUNGANO. AMANI  UMOJA NA MSHIKAMANO,

Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika Mkoa wa katavi yamefanyika Wilaya ya Mlele Halmashauri ya Mpimbwe Kata ya Usevya katika Viwaja Vya Sharp Rangers April 26 yamekuwa ya mafanikio makubwa kwa kuendeleo kuwaunganisha watanzani kudumisha umoja Amani na Mshikamano huku mkuu wa Mkoa akisistiza kudumisha Amani.

Akizungumza na Wananchi  waliohudhuria maadhimisho hayo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema zipo faida mbalimbali  za Muungano ambazo tumezipata kutokana na kuwepo kwa Muungano katika Mkoa wa Katavi.

Kama  Nchi kwa ujumla amesema Kupatikana kwa Jina laTanzania kulitokana na Muungano huu ambao umesababisha kuondoka kwa jina la  Tanganyika na Zanziba baada ya kuungana na kuzaliwa nchi ya   Tanzania kila mtu anajivunia Muungano.

Muungano umefanya kupatikana kwa Taifa moja lenye nguvu, kupatikana kwa mipaka Mipya baada ya Nchi hizi mbili, kuungana Kuwa,pia tumekuwa  na uchumi wa pamoja , Uhuru wa mtu kuishi popote katika mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila shaka yeyote, kupatikana kwa Uhuru wa kisiasa baina ya pande zote mbili ,hali ya uUlinzi na Usalama kuendelea kuimarika zaidi na Amani kuendelea kudumu tofauti na Mataifa mengine Duniani.

Serikali inayoongozwa na Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Miradi ya Elimu , Afya, Maji, Barabara, Umeme, Kilimo , ambapo kiasi cha Shilingi  Bilioni 620 zimetolewa kwa ajili ya  Miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa katika Mkoa wa Katavi .

Aidha  amehimiza  wananchi kuendelea kuwafundisha watoto  Uzalendo,Mila na Desturi nzuri za kitanzania ambazo hazina maadili mabaya ambayo ni potofu kwa Jamii, jambo ambaloo linaweza kusababisha  kupata tabia za Kishoga na kuwa na Taifa lenye vizazi  visivyokuwa na madili mema  hivyo ni vyema kuwafundisha maadili mema Watoto wetu ili tuwe na Taifa Bora.

 Kauli mbiu Maadhimisho ya Muungano ni Umoja na Mshikamano ndiyo nguzo ya kukuza Uchumi wetu.

Mwisho

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

  •  
  •  
  •  

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa