• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

RC - KATAVI AZINDUA MSIMU MPYA 2025/2026 WA UNUNUZI WA ZAO LA PAMBA

Posted on: June 10th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Katavi  Mhe . Mwanamvua Mrindoko aliyevaa miwani akiwa na viongozi mbalimbali wa Serikali na wale wa vyama vya ushirika kama wanavyonekana tayari kwa uzinduzi wa  msimu wa ununuzi wa soko la zao la Pamba,wengine ni wananchi waliohudhuria hafula hiyo iliyofanyika Kijiji cha Kapalala Halmashauri ya wilaya ya Nsimbo Mkoa wa Katavi.

Na Kibada Ernest –GCO Katavi

Juni 9,2025

 RC - KATAVI   AZINDUA MSIMU MPYA WA MWAKA 2025/2026 WA UNUNUZI WA ZAO LA PAMBA  

 Msimu mpya wa ununuzi wa zao la Pamba maarufu kama (Dhahabu nyeupe) umefunguliwa  kwa wakulima wa mkoa wa Katavi huku wakionesha furaha yao kwa serikali  jinsi inavyotoa kipaumbele katika sekta ya kilimo ,akiongoza sherehe za ufunzi wa soko la Pamba Mkoa wa Katavi Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Mwanamvua Mrindoko,amezindua  msimu wa ununuzi wa zao la pamba na mazao mengine kwa mwaka 2025/2026, hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Kapalala, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo.

Tukio la uzinduzi  limehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa  Serikali, vyama vya Ushirika  vya wakulima wa tumbaku (AMCOS), wakulima, na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo..

Akihutubia katika sherehe hizo za uzinduzi  , Mhe. Mrindoko amewaagiza Wakuu wa Wilaya  zote tatu Mkoani humo kusimamia kwa karibu uuzaji wa mazao kupitia vituo na mifumo rasmi ya Serikali ili kudhibiti uuzaji holela unaosababisha hasara kwa wakulima pamoja na uhaba wa chakula..

Katika hatua nyingie amesisitiza kuwa mazao ya Pamba na Tumbaku yanahusisha wakulima wengi mkoani humo yanapaswa kuendeshwa chini ya usimamizi makini wa vyama vya Msingi vya Ushirika.

 Ameeleza kuwa baadhi ya Viongozi wa vyama  hivyo wamekuwa wakikiuka taratibu kwa kuingia mikataba isiyo rasmi na wakulima, jambo linalowaumiza wakulima kibiashara. hivyo, amewaagiza Wakuu wa Wilaya kuhakikisha kilimo cha Mkataba kinasimamiwa kwa mujibu wa Kanuni, sheria,taratibu   na miongozo ya Serikali.

Aidha, Mkuu huyo wa Mkoa ametangaza Mkoa wa Katavi kuanza kutumia mfumo wa Stakabadhi  Mazao ghalani, kuanzia  zao la ufuta katika msimu huu wa 2025/2026.Pia amewahimiza wakulima kuunga mkono mfumo huo kwa kuwa unalenga kutoa bei nzuri, usalama wa soko, na kupunguza unyonyaji kutoka kwa walanguzi.

Vilevile Mkuu wa Mkoa Mhe. Mrindoko amewahimiza Vijana wa Katavi kutumia msimu huu kama fursa ya kuwekeza kwenye kilimo, akisisitiza kuwa ni sekta inayotoa ajira, kipato, na mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa.

Ameipongeza kampuni ya NGS Investment Company Ltd kwa kuendelea kuwa soko la uhakika la zao la Pamba Mkoani humo,na kuwataka wakulima kuhakikisha wanavuna  pamba katika hali ya  usafi, kuipepeta vizuri na kuifikisha sokoni ikiwa katika ubora unaokubalika ili kukidhi mahitaji ya soko.

Naye Bugelaha Filbert akizungumza niaba ya Bodi ya Pamba, amesema kuwa ili mkulima anufaike na kilimo cha pamba, ni lazima azalishe kwa tija—kwa kutumia mbegu bora, mbolea, na matunzo sahihi. Ameeleza kuwa mkulima anaweza kuvuna hadi kilo 1,000 kwa hekari moja ikiwa atazingatia kanuni hizo.

Kwa upande wao, wakulima pamoja na wananchi   waliohudhuria hafla hiyo wameonesha kufurahishwa kwa  kuanza msimu mpya wa ununuzi wa pamba, wakisema kuwa matumizi ya mizani bora  ya kisasa yameongeza matumaini ya kupata haki katika vipimo. Hata hivyo wakaiomba Serikali kuhakikisha kuwa malipo ya pamba yanafanyika kwa wakati ili kuwawezesha kujipanga kwa msimu mwingine wa kilimo na shughuli za kijamii.

MWISHO.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA YAENDELEA KURINDIMA -MKOANI IRINGA

    June 10, 2025
  • RC - KATAVI AZINDUA MSIMU MPYA 2025/2026 WA UNUNUZI WA ZAO LA PAMBA

    June 10, 2025
  • WAZIRI MKUU AFUNGUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA & UMISSETA MKOANI IRINGA

    June 09, 2025
  • WAZIRI MKUU AFUNGUA MASHINDANO YA UMITASHUMTA & UMISSETA MKOANI IRINGA

    June 09, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa