• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

RC KATAVI KATIKA MATEMBEZI YA BONAZA

Posted on: August 19th, 2022


Pichani:

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko(katikati) ,Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filberto Sanga (kushoto)na  Mwenyekiti wa Halmashauri ya  Wilaya ya Mlele Mhe.Soud Mbogo, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya Bi. Teresia Irafay  kulia) waliposhiriki matembezi katika bonanza lililoandaliwa kwa ajili ya kuhamasisha Wananchi kushiriki katika Sensa ya watu na makazi 23 Agosti 2022.

RC KATAVI AKEMEA UPOTOSHWAJI KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko ameitaka jamii kuepukana na upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusu sensa ya watu na makazi.

Akizungumza na hadhara ya wananchi Agosti 18, 2022 katika bonanza la kuhamasisha wananchi kushiriki sensa, Mhe.Mwanamvua amesema wakibaini watu wenye tabia hiyo watoe taarifa kwa viongozi na vyombo vya dola wachukuliwe hatua.

"Tutashughulika nao vizuri kisheria hatutawaacha salama kwa sababu watakuwa hawana nia njema na Rais," amesema.

Aidha amewataka wananchi kutowaficha watu wenye ulemavu, wanatakiwa kuhesabiwa ili watengenezewe utaratibu mzuri wa kupata huduma.

"Kupitia bonanza hili tulilofanya natumia nafasi hii kutangaza kuwa sasa tunao mabalozi wa sensa kupitia makundi yetu maalumu.

"Tunao bodaboda,  wajasiriamali, machinga na wengine tunawakabidhi kazi hii ya kuhamasisha sensa mkaifanye kupitia mabango na kuzungumza na wateja wenu," amesema,

Awali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filberto Sanga alieleza kuwa Wilaya yake Kamati za Sensa Viongozi na wananchi wote wamejipanga vyema kuhakikisha wanahesabiwa kwa kuwa wanaouelewa wa kutosha kuhusu sensa maana hamasa imefanyika na inaendelea kufanyika kwa ngazi zote na kila mmoja anao uelewa wa kutosha na kufahamu umuhimu wa Sensa.

Deo Johanesi ni Mratibu wa Sensa ya watu na Makazi wilaya ya Mlele, ameeleza kuwa yanaendeea vizurihalmashauri imejipanga vyema kwa kuwa maandalizi yote yameishakamilika kwakuwa kamati mbalimbali kuanzia ngazi ya kitongoji hadi wilaya ziliundwa na maeneo yameishabainishwa na maandalizi yanaenda vizuri kuhakikisha zoezi hili linafanikiwa.

Pia Mafunzo ngazi ya wilaya kwa wasimamizi wa Maudhui, wasimamizi wa TEHAMA makarani na   ,ambapo mafunzo hayo ni  ya siku 19 na Halmashauri ya wilaya ya mlele ilipangiwa  jumla ya washirki 165 kati yao   92  ni wasio kuwa na ajira, na 73 ni wa ajiriwa wa serikali.

Ambapo na wasimamizi wa maudhui ni 12  wasimamizi wa TEHAMA ni 6 na makarani 85 ni

Amesma hakuna mtu hata mmoja ambaye ataachwa bila kuhesabiwa.

Mhe Soud Mbogo ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele amesema yuko tayari kuhesabiwa na wananchi wake wote wa mlele na wamejipanga vyema wanakuwa wa kwanza kwa kuwa ni kawaida kwa halmashauri yake kuwa wa kwanza kwa kila maelekezo yanayotolewa na serikali,kutekeleza miradi wa kwanza, kkukusanya mapato wakwanza ufaulu wa wanafunzi wa Kwanza  Nanenane wa kwanza hata sensa watakuwa wa Kwanza aondoe hofu.

Naye Aubrey Kasembe  ambaye ni mkazi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele amesema bonanza hilo limeongeza uelewa kuhusu masuala ya sensa kutokana na elimu iliyotolewa.

"Tunaenda kuhamasisha wengine wahesabiwe ili serikali ipate idadi kamili rai yangu watu wajitokeze tarehe 23, tukihesabiwa ni faida yetu sisi," amesema.

Bonanza hilo lilofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Inyonga  limeambatana na matembezi ya hiari, michezo ya mpira wa miguu na kuvuta kamba,kukimbiza kuku,kukuna nazi,kucheza ngoma za asili,kula tikitki lengo ni kuhamasisha jamii kushiriki zoezi la sensa ya watu na  Makazi.


Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa