• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Shule ya Sekondari Kamsisi Moja ya madarasa shule bora katika Halmashauri ya Mlele.

Posted on: November 28th, 2022

MKUU WA WILAYA YA MLELE AHIMIZA KUKAMILIKA KWA WAKATI VYUMBA VYA MADARASA.

Serikali ya awamu ya sita imeendelea kuleta fedha za maendeleo katika Halmashauri mbili za Wilaya ya Mlele watendaji wamehimizwa kukamilika miradi hiyo  kwa wakati ili kuwa na tija iliyokusudiwa.

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkuu ya Mhe.Filberto Sanga baada ya kufanya ziara ya kutembelea na kukagua ujenzi wa  shule  zilizopewa fedha kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa,  fedha kutoka serikali Kuu.





Moja ya madarasa yaliyojengwa katika Halmashauri ya  Wilaya ya Mlele shule hii ya Kamsisi imejengwa Kata ya Kamsisi ikiwa ni moja ya shule bora katika Halmashauri ya Mlele.

Mhe.Sanga  amekagua ujenzi wa vyumba  tisa vya madarasa katika Shule za Sekondari Ilunde, Kilinda,  Inyonga, Isack Kamwelwe , Utende ,na Ilela zilizopo halmashauri ya Wilaya ya Mlele.

“Serikali inafanya jitihada kubwa kuwaletea wananchi wake maendeleo kwa kutoa fedha za miradi hivyo kamilisheni  miradi  kwa wakati na kwa ubora”alisema Mhe. Sanga.

 Maendeleo ya  ujenzi wa  vyumba tisa vya  madarasa kwa shule za Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Mlele ambapo Serikali ya  awamu ya Sita hivi  karibuni ilitoa milioni 180 kwa ajili ya ujenzi wavyumba tisa vya madarasa katika shule za Sekondari Sita.

Amesema Serikali imejikita kuwaletea maendeleo wananchi maendeleo katika sekta ya elimu, Afya,Elimu,Maji,Barabara nk ambapo ameelekeza kutekeleza miradi kwa taratibu na ubora sambamba na kutumia njia shirikishi.

Kipekee Mhe. Sanga amemshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa  kuleta fedha nyingi za maendeleo katika Wilaya ya Mlele kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika sekta zote.

Pia wananchi wameshukuru Serikali kutoa fedha shilingi milioni180 za ujenzi wa madarasa tisa yatakayowezesha watoto wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza mwaka 2023 kukaa kwenya madarasa mapya.

Mwisho.

Shilingi 180 milioni  kukamilisha ujenzi wa vyumba vya 9 vya madarasa meza na viti katika shule sita  za sekondari Halmashauri ya wilaya ya Mlele fedha kutoka Serikali Kuu.

Shule ya Sekondari Inyonga  ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa kwa shilingi  milioni 60.

Shule ya Sekondari Utende  ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa kwa shilingi  milioni 40.

Shule ya Sekondari Kilinda  ujenzi wa chumba kimoja cha  darasa  shilingi milioni milioni 20.

Shule ya Sekondari Ilunde ujenzi wa chumba kimoja cha  darasa milioni milioni 20.

Shule ya Sekondari Ilela ujenzi wa chumba kimoja cha  darasa milioni milioni 20.

Shule ya Sekondari Isack Kamwelwe  ujenzi wa chumba kimoja cha  darasa milioni milioni 20.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa