• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

TASAF

Posted on: November 4th, 2020


Mfuko wa Maendeleo ya Jamiii wa kunusuru kaya  masikini,TASAF umeküwa nuru ya kukomboa kiuchumi  kaya  masikini Halmashauri ya wilaya ya Mlele ni miongoni mwa Halmashauri hapa nchini ambazo wananchi wake wamenufaika na mpango huo hali inayofanya wananchi kuondokana na umasikini kutokana na mpango huo.

Mpango wa  TASAF  ni miongoni mwa  dhima kubwa na kipaumbele cha kupunguza umasikini kwa kaya masikini nchini Tanzania,hivyo Serikali na kaya  lengwa zina matumainini  makubwa katika mpango huu.

Kuwepo kwenye mpango wa TASAF kwa wilaya ya Mlele tangu mwaka 2015 ni ushahidi tosha kuwa mpango huu umekuwa mkombozi wa jamii nyingi masikini katika Halmashauri ya hiyo. Kaya nyingi zimepata mwanga wa kujikomboa kutoka kwenye dimbwi  la umasikini uliopitiliza kwa kujiwekea malengo fanisi ya matumizi ya pesa wanazopata kwa kuwekeza kwenye shughuli za maendeleo.

Shughuli zenye tija na zenye kuchochea maendeleo zinafanywa na kaya zinazofaidika na mpango wa TASAF kwa Halmashauri ya wilaya ya Mlele ni pamoja na ufugaji,biashara ndogondogo,kusomesha watoto na shughuli za kilimo.

Baadhi ya wanufaika wamekiri kwamba mpango huu wa TASAF ni mkombozi kwao kwa kuwa umefanya maisha ya kaya nyingi kuinuka  kiuchumi kwa kujishughulisha na ujasiliamali.

Mratibu wa Mpango  wa TASAF Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi Graceana  Msemakweli  amekiri kuwa kuna mwamko mkubwa kwa kaya lengwa kwani zimekuwa  katika maendeleo ya kiuchumi kwa kuzingatia malengo bora ya matumizi ya fedha  wanazopokea.

Kata zote 6 zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Mlele zimekuwa zikipata elimu ya kuhakikisha maisha yao yanaboreshwa kutoka katika utegemezi kwa kutumia fedha wanazozipata  kikamilifu kwa mambo yenye tija ya ushawishi wa maendeleo.Mpango huu wa kunusuru kaya masikini ni chachu ya mandeleo na mafanikio yake tangu ulipoanza umekuwa ni mkubwa ana.

Kwa kuzingatia umuhimu wa mapango huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli alizindua mpango wa kipindi cha pili cha awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini mapema mwakahuu.Mpango ambao unatarajia kugharimu trioni 2 za kitanzania kwa ajili ya kutoa ruzuku kwa kaya masikini nchini .

Tangu kuanzishwa kwa TASAF katika Halmashauri ya wilaya ya Mlele kumekuwa na tija ya kupambana na umasikini kwa kiasi kikubwa maeneo mbalimbali  wilayani humo ,hivyo mpango huu ni nuru ya maendeleo  kwa wananchi.

 

Kwa upande wao walengwa walionufaika na mpango wa kunusuru Kaya Masikini kutoka Kata za Inyonga na Ilunde kwa nyakati tofauti wameeleza jinsi mpango ulivyowanufaisha kwa kuwaondolea umasikini.

Aderia Peter Gembe ,mwenye watoto watatu ni mmoja wa walengwa aliyenufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini TASAF Wilaya ya Mlele anaeleza jinsi mpango ulivyomsaidia kuwapatia elimu watoto wake watatu mmoja akiwa sekondari binti yake  mwenye umri wa miaka 15 aitwaye Rosemary Joseph,wengine wawili wanasoma shule ya msingi Maria Joseph mwenye miaka 11, na Mathar Joseph mwenye umri wa miaka sita wate wakihudumiwa na kusomeshwa na mpango wa kunusuru Kaya masikiniTASAF.

Mnufaika mwingine aliyenufaika na mpango huo,Bibi  Fransisca Zakari mwenye umri wa miaka  ( 72) anaeleza jinsi mpango ulivyomsaidia kuondokana na umasikini anasema kabla ya kujiunga kwenye mpango hali ya maisha ilikuwa ngumu hata suala la kupata chakala kwake ilikuwa shida lakini sasa hali ni nzuri toafauti na awali,kutokana fedha anazopata amekuwa akijiwekea akiba kidogo kidogo na kununua mifugo kuku nan a nyingine kutumika katika katika kilimo ambapo amelima karanga na kufanikiwa kujenga nyumba ya bati.

Walengwa hao wanaeleza kuwa mpango wa TASAF umewasaidia sana kuondokana na umasikini uliokithiri sasa ni tofauti na awali walivyokuwa kwa kuwa wanauwezo kujumuika na wenzao na kuonekana nao ni jamii ya wananchi kama wengine.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa