• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Tume ya Ufuatiliaji

Posted on: July 9th, 2021

Ujumbe wa Tume ya Ufuatiliaji wa miradi ya Maendeleo kutoka TAMISEMI  katika kikao cha majumuisho ofsini kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  TUME YA UFUATILIAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA TAMISEMI  YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO UNAOFANYWA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELEMKOA WA KATAVI.

  Tume ya Ufuatiliaji wa miradi ya Maendeleo kutoka TAMISEMI  imepongeza juhudi zinazofanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Mlele katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo usimamizi na utekelezaji  wa miradi  kwa kusimamia fedha fedha zilizoletwa kutoka serikali kuu kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.

Pongenzi hizo zilitolewa wakati wa kikao cha majumuisho baada ya  kutembelea miradi hiyo na  kujiona utekelezaji wake, na kusema kuwa kazi kubwa na nzuri imefanyika pamoja na kuwepo changamoto za vitendea kazi na uchache wa watumishi na mazingira magumu   ya utendaji kazi lakini kazi nzuri imefanyika hivyo Halmashauri na watumishi mnastahili kupongezwa.

Walieleza kuwa  kazi iliyofanyika inaonekana na  inalingana na thamani ya fedha zilizopokelewa katika Halmashauri hiyo, haivyo matumaini makubwa ya wananchi ni kupatiwa huduma iliyo bora  na nzuri sasa uhuduma itapatikana  katika mazingira mazuri hongereni sana.

Katika Taarifa ya Utekelezaji iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Mwl.Alexius Kagunze ilieleza kuwa Halmashauri ya  Wilaya ya  Mlele kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ilidhinishiwa na Bunge  kiasi cha shilingi 2,288,423,000.00 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kutoka fedha za Serikali Kuu ambapo hadi kufika juni 2021 Halmashauri imepokea kiasi cha shilingi 2,271,899,361.16 ambazo zilitumika kwa ajili ya miradi ya Jengo la utawala.Ujenzi wa wadi tatu Hospitali ya Halmashauri,Mfuko wa Jimbo,Ujenzi wa Zahanati Saba na  ununuzi wa Vifaa tiba.

Fedha nyingi zilitumika kwenye ujenzi wa madarasa 11 ya Shule za Msingi,Ujenzi wa Maabara saba za Shule za Sekondari,Ujenzi wa walk way na umaliziaji wa jengo la kuhifadhia maiti,

Ununuzi na uwekaji wa mashine katika Kituo cha kuchakata mazao ya nyuki,na malipo kwa ajili ya ujenzi wa ghala la Ilalangulu.

Kwa upande wa fedha za nje za Maendeleo Halmashauri ya Wilaya ya Mlele katika KIpindi cha kuanzia Julai 2020 hadi        Juni 2021 imepokea kiasi shilingi 319,200,000.00 za EP4R na Covid 19 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa