• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Ujenzi wa nyumba ya Watumishi Zahanati ya Songambele.yakamilika kwa ubora

Posted on: April 18th, 2023

.Kamati ya siasa ya wilaya ya Mlele yatembelea Ujenzi wa  nyumba ya Watumishi  yenye  uwezo wa kuishi Familia mbili  Zahanati ya Songambele iliyoko Kata ya Kata ya Kamsisi iliyotembelewa na kukaguliwa na Kamati ya Siasa Wilaya ya Mlele ujenzi wa nyumba moja Pamoja na Zahanati Halmashauri ilipokea shilingi million kukamilika kwa Zahanati hiyo kutasaidia kutoa huduma Jirani na kuwapunguzia adhaa ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma tiba umbali wa kilometa  Zaidi ya kumi  Kijiji cha Kamsisi

WADAU WA MAENDELEO WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI HALMASHAURI YA MLELE

Mdau wa Elimu  na Mwenyekiti wa Wazazi Halmashauri ya Mlele Moses Kayega ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya Maendeleo kisha ameshauri wananchi wa Wilaya ya Mlele na wale wa kutoka nje ya Mlele Kwenda kutembelea miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa katika Halmashauri hiyo ili kujifunza na kujionea ubora wa miradi na jinsi ilivyotekelezwa kwa usimamizi mzuri.

Ametoa kauli hiyo wakati wa akichangia michango ya mawazo wakati wa kikao cha wadau wa elimu kujadili mikakati na mstakabali wa kuinua elimu katika Halmashauri hiyo ikiwa ni Pamoja na namna ya kuongeza miundombinu ya vyumba vya madarasa kwa shule za msingi na Sekondari.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mlele Mhe.Wolfgang Mizengo Pinda akiongoza  Kamati ya Siasa kutembelea Kituo cha Afya Inyonga B’kukagua Jengo la Maabara,Jengo la Mionzi na jengo la huduma ya uzazi na mtoto ambapo majengo hayo yamegharimu kiasi cha fedha shilingi milioni 400 fedha kutoka Serikali Kuu

Amesema iwapo watatembelea na kuona ubora wa miradi hiyo watakuwa na jambo la kujifunza kuliko kuka na kuongea jambo ambalo hawajaona “Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni,ni kweli usiofichika miradi iliyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya yabMlele ina ubora na inapendeza machoni ukiona hakuna maswali yeyote kwa fedha ya mama imeliwa imefanya kazi iliyokusudiwa “alisema Kayega.

Hivi Karibuni Kamati ya Siasa ya Wilaya Mlele Ilitembelea kukagua miradi hiyo na kila mradi waliokagua waliridhika kwa ubora wake, wanashukkuru wasimamizi wa miradi wakiongozwa na Mkurugeenzi Mtendaji Bi,Teresia Irafay na Timu yake ya Wataalamu,Waheshimiwa Madiwani na  wananchi kwa ujumla kwa ushirikiano wao mzuri katika kutkeleza miradi hiyio.

Shukurani Zaidi zimwendee Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe, Dkt  Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi katoka Halmashauri ya Mlele Fedha zilizotekeleza miradi ya Maendeleo katika Sekta ya Afya,Elimu Msingi na Sekondari hivyo kuwaletea Maendeleo wananchi na wao Kama chama Ilan Imetekelezwa kwa Vitendo Hongera sana  Mama.

mwisho

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa