• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA YAENDELEA KURINDIMA -MKOANI IRINGA

Posted on: June 10th, 2025

Pichani baadhi ya wanamichezo wa Shule za Msingi kutoka mikoa wa Songwe na Kigoma kama wanavyoonekana picha 

wakichuana vikali katika mchezo wa mpira wa mikono ikiwa ni hatua ya makundi ya  Mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya Taifa  ambayo yameanza kurindima  katika viwanja mbalimbali vya michezo  mkoa wa  Iringa -Picha na OR-TAMISEMI

Katavi-GCOTAMISEMI

MASHINDANO YA UMITASHUMTA NGAZI YA TAIFA YAENDELEA KURINDIMA -MKOANI IRINGA     

Hatua ya makundi ya  Mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya taifa yameanza kurindima  katika viwanja mbalimbali vya michezo  mkoa wa  Iringa, huku viwanja vya Chuo cha Ualimu Klerruu, Shule ya Sekondari ya Wasichana Iringa, na Lugalo  viwanja hivyo vikianza kutimua vumbi kwa   mbali mbali ya  hatu ya makundi.

Katika mmashindano hayo ambayo yameshuhudia Uwanja Wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Iringa,kumechezwa  michezo ya mpira wa mikono kwa upande wa wavulana kutoka Mkoa wa Songwe walioneshana umwamba  na wenzao kutoka Mkoa wa Kigoma ambapo wavulana kutoka mkoa wa Songwe waliwararua wenzao wa Mkoa wa Kigoma kwa jumla ya mabao 15-9 ambapo Mkoa wa Morogoro wakiwalazwa wenzao kutoka Mkoa wa Shinyanga kwa Magori 16-11.

Vijana kutoka Makao makuu ya nchi Mkoa wa Dodoma waliwanyosha wenzao Mkotoka Mkoa wa Kilimanjaro  kwa kiwachapa kipigo  kitakatifu cha jumla ya magoli 20-6,mbali ya kuichapa Kilimanjaro pia waliwalaza majirani zao Walima alzeti wa kutoka mkoa wa singinda jumla ya mabao 18-10 na kuzidi kuonyesha ubabe kwa kujinyakulia ponti  muhimu katika kundi hilo.

Wachezaji katika Mashindano haya wanaendelea kuonesha vipaji vyao  hivyo kuwa  kivutio hali inayozidi kuwavutia  mashabiki wengi,  kuvutiwa kuja kuona  Vipaji mbalimbali kutoka kwa vijana hao wa shule za msingi walivyojaliwa kuwa na vipaji vya hali ya juu, huku  ushindani ukiwa wa mkubwa kutoka kwa timu zote zinazoshiriki na huku  zikiendelea kujiimarisha  katika kuwania nafasi za juu kuelekea hatua ya makundi.

MWISHO

 

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • KIKAO KAZI CHA MAZINGIRA

    July 31, 2025
  • WATUMISHI GALA

    July 26, 2025
  • UDHIBITI TAKA MLELE

    July 21, 2025
  • TANKI LA MAJI

    July 14, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa