• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

WAKULIMA WA MLELE WAPEWA NENO NA SERIKALI.

Posted on: November 7th, 2020
  •   Katibu Tawala wa Wilaya ya Mlele Linkolin Tamba  akiwahutubia wananchi na kuwapa elimu ya kilimo  Wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele  Kata ya Utende wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kwa mwaka2020/2020 wananchi hawapo pichani



 WAKULIMA WA Wilaya ya MLELE WAPEWA NENO NA SERIKALI.

Na Kibada Ernest

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Mlele Linkolin Tamba amewashauri wakulima wa Halmashauri  ya wilaya mlele kutumia fursa ya ardhi kuzalosha kwa kulima zao la korosho  na mazao mengine kama pamba ufuta ,karanga mpunga na mahindi kwa kuwa soko lipo na litawaongezea kipato na kuwakomboa kiuchumi.

Ametoa rai hiyo wakati akiwahutubia wananchi muda mfupi baada ya uzinduzi wa msimu wa msimu wa kilimo kwa mwaka 2020/2021 uzinduzi uliofanyika kiwilaya kijiji cha uzega Kata ya Utende na kuhudhuriwa na wadau kilimo,wataalam wa kilimo,watafiti,wauzaji wa pembejeo na wakulima kutoka maeneo mbalimbali ktk wilaya hiyo mbapo walipata fursa ya kujifunza maswala mbalimbali kuhusianana kilimo.

Mbali ya hayo ameagiza halmashauri kuanzisha mashamba darasa kila kijiji ili wakulima iwe rahisi kujifunza kwa vitendo,pia ameitaka Halmashauri kuhakikisha inawezesha maafisa ugani na mifugo vyombo vya usafiri ili waweze kuwafikia kwa urahisi wakulima na kuwasaidia kuwapatia elimu inayohusiana na kilimo.

Akitoa taarfa ya hali ya kilimo na uzalishaji kwa msimu 2019/2020 na maandalizi ya msimu wa kilimo  kwa mwaka 2020/2021 Afisa kilimo katika Halmashauri ya Mlele Luke Kifyias ameeleza lengo lauzinduzi wa msimu wa kilimo ni kuhakikisha kila mwananchi mwenye uwezo wa kufanya kazi  kulima ekari mbili za mazao ya chakula na  moja ya biasahara,na kutoa elimu ya kilimo.pamoja na mambonmengine.

Katika uzinduzi huo elimu mbalimbali kuhusia na kilimo,pembejeo,mbegu bora na namna ya  kuandaa shamba kulima,kupanda,kupalilia,kuwekea mbolea kuvuna hadi kuuza imetolewa na wataalam wa ugani,kwa zao korosho,pamba,mahindi,karanga pamoja na mpunga.

Mwisho,

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA PEPMIS KWA WATAALAMU

    June 03, 2025
  • MUONEKANO ANGAVU WA HOSPITALI YA WILAYA YA MLELE

    May 26, 2025
  • KIKAO CHA MAAFISA HABARI DODOM

    May 23, 2025
  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa