• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

WALENGWA WA MFUKO TASAF

Posted on: July 5th, 2021

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII ( TASAF) UMEKUWA  MKOMBOZI KWA KAYA MASIKINI  HALMASHAURI  YA  WILAYA  YA  MLELE.

 

Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) awamu ya tatu,chini ya Mpango wa kunusuru Kaya  Masikini, umeküwa nuru ya ukombozi kiuchumi  kwa Kaya  Masikini  katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi.

Mpango huu ulianza rasmi kwa Kaya masikini kutämbuliwa na kuhuwishwa fedha kwa walengwa ,mwaka 2015  katika   Halmashuri ya Wilaya ya Mlele ambapo Jumla walengwa 267 wamenufaika katika Vijiji  vinne  kati ya 18  vlivyojumuishwa kwenye Mpango wa (TASAF) kipindi cha kwanza awamu ya tatu. 

 Mpango wa  (TASAF)  ni miongoni mwa  dhima kubwa na kipaumbele cha kupunguza umasikini kwa kaya masikini nchini Tanzania,hivyo Serikali na kaya  lengwa zina matumaini  makubwa katika mpango huu.

Kuwepo kwenye mpango wa TASAF kwa Kaya Masikini zilizoko  Wilaya ya Mlele   ni ushahidi tosha kuwa mpango huu umekuwa mkombozi wa jamii nyingi masikini katika Halmashauri ya hiyo.

Mratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Halmashauri ya Wilaya Mlele Bi Graceanna Msemakweli anaeleza kuwa Kaya nyingi zimepata mwanga wa kujikomboa kutoka kwenye dimbwi  la umasikini uliopitiliza kwa kujiwekea malengo fanisi ya matumizi ya pesa wazozipata kwa kuwekeza kwenye shughuli za maendeleo.

Shughuli zenye tija na zenye kuchochea maendeleo zinafanywa na kaya zinazofaidika na mpango wa TASAF kwa Halmashauri ya wilaya ya Mlele ni pamoja na ufugaji,biashara ndogondogo, ujenzi wa makazi bora ya kuishi,kusomesha watoto,kupata matibabu na kujipatia angalau milo mitatu kwa siku kutokana na uwepo wa Mpango huu, kilimo.

Baadhi ya wanufaika wamekiri kwamba  Mpango wa kunusuru Kaya Maskini umefanya maisha ya Kaya zilizoko kwenye mpango huo kuinuka  kiuchumi kwa kujishughulisha na ujasiliamali, kusomesha watoto na shughuli mbalimbali za kiuchumi za kujiongezea kipato.

Wakitoa ushuhuda jinsi walivyonufaika na fedha za TASAF walengwa katika mpango wa kunusuru Kaya masikini katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele kutoka Kata za Inyonga,Ilunde wakizungmza kwa Nyakati tofauti  wanaeleza jinsi walivyonufaika na fedha hizo  na wamefanikiwa  kuanzisha miradi mbalimbali sanjali na kushukuru Serikali  kwa kuwajali.

Katika hatua nyingine Mratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Halmashauri ya Wilaya Mlele Bi Graceanna Msemakweli amewashauri walengwa wa Mfuko huo kukata bima ya Afya kuokana na fedha zkidogo kwani kwa kuwa na bima itawasaidia kupata matibabu pindi wanapoungua wakiwa hawana fedha.

Amesema Iwapo wataungua wakati hawana fedha lakini wakiwa na  bima ya Afya itawaweza kuwasaidia kupata matibabu kwenye zahanati,kituo cha Afya na kwenye Hospitali kuliko kuungua ukiwa huna hela mfuko wala kitambulisho cha bima ya Afya hapo ni tatizo hivyo wote mnahauriwa kukata bim aya Afya kwa hela kidogo hiyoh hiyo mnayoipata itawasaidia.alisisitiza Mratibu huyo.

Akiongea kwa niaba ya walengwa mmoja wa walengwa wa mfuko huo alionesha furaha yake kwa serikali jinsi ilivyowasaidia kuondokana na umasikini ambapoa amesema yeye anaishi na watoto yatima lakini ameweza kuwasomesha,kutokana na fedha hizo,ameweza kufuga nyuki na ana mizinga 50 ambapo akilina asali debe moja anauza kwa shilingi laki elfu themani hadi laki moja anashukuru sana Serikali kwa kuja na mpango huo.

Katika hatua nyingine Mratibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Halmashauri ya Wilaya Mlele Bi Graceanna Msemakweli amewashauri walengwa kukta bima ya Afya kutokana na fedha kidogo wanayoipata kwani bima ya Afya itawasaidia pindi wanapouguawakiwa haana fedha.

Mwisho. 


Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa