• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

WATAKIWA KUACHANA NA MILA POTOFU WATOTO WAPATE CHANJO YA POLIO

Posted on: December 2nd, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko akitoa matone kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano kuashiria uzinduzi wa kampeni ya chanjo kwa mkoa wa Katavi.huku Muuguzi Mkuu wa Halmashauri ya wilaya Rose Ntalilwa kimwelekeza  mkuu wa Mkoa katika zoezi hilo.

Na Kibada Ernest. Mlele Katavi

Tarehe

 Disemba mosi  2022

WATAKIWA KUACHANA MILA POTOFU WAPELEKE WATOTO WAPATE CHANJO YA POLIO

  • Watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano wapatao  285,800   wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Polio Mkoani Katavi
  • Mkuu wa Mkoa awaasa wazazi na walezi kuachana na mila na imani potovu awahimza wazazi kuchanja watoto wao chanjo hina madhara.  

Wazazi na Walezi wa Mkoa wa Katavi wamewatakiwa kuachana na mila potofu na maneno ya upotoshwaji yanayotolewa na baadhi ya watu kuwa  chanjo zitolewazo na  Serikali zina madhara hiyo siyo kweli, badala yake wamewahimizwa  kuhakikisha wanawapeleka watoto wote wenye umri wa chini ya  mitano kupatiwa chanjo ya polio kwenye vituo vya kutolea huduma za afya na maeneo yaliyopangwa.


Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko akizindua utoaji wa chanjo ya matone ya Polio kwa watoto waliochini ya umri wa miaka mitano zoezi liliofanyikia kituo cha afya Inyonga B'Halmashauri ya wilaya ya Mlele

 Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi  Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko wakati akiongea baada  ya  uzinduzi wa chanjo ya polio kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano ambapo kwa mkoa wa Katavi watoto wapata 285,800 wanatarajiwa kupatiwa chanjo.huku Halimashauri ya Mlele ikitarajia kuchanja watoto wapatao 16,680  

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko akizindua utoaji wa chanjo ya matone ya Polio kwa watoto waliochini ya umri wa miaka mitano zoezi liliofanyikia kituo cha afya Inyonga B'Halmashauri ya wilaya ya Mlele


Mkuu  huyo wa Mkoa Mhe. Mrindoko amewahimiza wazazi wote kuhakikisha wanawapatia watoto wote walio chini ya umri huo wa  chini ya miaka mitano wanapatiwa chanjo.

Amesema kila mmoja ahakikishe watoto wanachanjwa wazazi wasiwafiche watoto wataalam  wa Afya na wale waliopewa dhamana kufanya kazi hiyo watapita nyumba kwa nyumba sokoni na kila eneo walipo watafikiwa kupatiwa chanjo.

Amesema mtoto akipata chanjo ya polio  itamsaidia kumkinga na magonjwa ya  ulemavu hivyo chanjo hiyo ni salama kabisa wala wananchi wasiwe na hofu yeyote.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko akitoa matone kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano kuashiria uzinduzi wa kampeni ya chanjo kwa mkoa wa Katavi.huku Muuguzi Mkuu wa Halmashauri ya wilaya Rose Ntalilwa kimwelekeza  mkuu wa Mkoa katika zoezi hilo.



Awali  Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe. Filberto Sanga alieleza kuwa uzinduzi wa chanjo umefanyika katika kituo cha Afya Inyonga B’ Wananchi,  wazazi  na walezi wamejitokeza kuleta watoto wao kupatiwa chanjo.

Mhe Sanga amesema   mwitiko ni mkubwa,Wilaya imejipanga kuhakikisha kila mtoto mwenye umri chini ya miaka mitano anapatiwa chanjo,kwa Halmashauri ya Mlele watoto wapatao 16,680 wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya polio.

Kwa Mbunge wa Jimbo la Katavi Mhe.  Mhandisi Isack Kamwelwe  alimshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kazi nzuri ya kuhimiza maendeleo katika Mkoa wake,ameeleza kuwa wananchi wa Jimbo la Katavi  ni wachapa  kazi,hata suala la chanjo kwa watoto watajitokeza kuhakikisha watoto wao wenye umri chini ya miaka mitano wanapata chanjo wote kama elekezwa na serikali hakuna shaka kwa hilo.

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko akitoa neno kwa akina mama hawapo pichani baada ya kutoa matone kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano kuashiria uzinduzi wa kampeni ya chanjo kwa mkoa wa Katavi.huku Muuguzi Mkuu wa Halmashauri ya wilaya Rose Ntalilwa kimwelekeza  mkuu wa Mkoa katika zoezi hilo.

Mhe. Mhandisi Kamwelwe ameeleza kuwa wananchi wake wanajituma katika shughuli zote hata hii ya umbaji wa watoto ambao ni wapiga kura wajao watahakikisha wanahamasisha wazazi na walezi kuwapeleka katika maeneo yaliyotengwa kutolea huduma ya chanjo ya polio kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano wanapatiwa chanjo hiyo. Na kuvuka lengo lillilowekwa.

Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa