• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

WAZIRI MKUU AWATAKA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MLELE WAHAMIE KWENYE NYUMBA ZA SERIKALI HABARI Kamili

Posted on: December 14th, 2022


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele  Kijiji cha Mapili alipowasilili kukagua barabara ya lami ya kutoka Inyonga  hadi kijiji cha Mapili yenye urefu wa kilometa 8.69 akiwa kwenye ziara ya Mkoa wa Katavi, Disemba 13, 2022. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buwelu. 

Na Kibada Ernest –Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikali Mlele.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa barabara ya Inyonga-Mpanda hadi Tabora na kukabidhiwa kwa Halmashauri hiyo.



Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao akiwa kwenye ziara ya Mkoa wa Katavi.

Watumishi ambao ameagiza wahamie kwenye nyumba hizo ni Afisa Usalama wa Wilaya (DSO), Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Mlele (OCD), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele (DED), Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mlele (DMO) pamoja na watumishi wengine wa hospitali ya wilaya.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele akida katika ziara ya Mkoa wa Katavi, 

 

Waziri Mkuu alitoa agizo hilo wakati akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi baada ya kujionea mwenyewe kuwa zimetelekezwa na zinaharibika kwa kukosa uangalizi.

“Watumishi wanahangaika hawana makazi, nyumba zimeachwa nyasi zimeota hadi kwenye korido. Watumishi wote wanaopaswa kuhamia katika nyumba hizi baada ya kumaliza mkutano huu kila mmoja aende kwenye  Nyumba yake na ahamie. Mkurugenzi naomba orodha ya majina ya watakaohamia.”

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buwelu ambaye pia ni  Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi akiwapungia mkono wananchi kwa kuwasalimia  

Nyumba hizo 11 zenye ukubwa tofauti kati yake mbili zina uwezo wa kuchukua familia nne kila moja ni za kisasa na zilikabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mlele Novemba 2022 na Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS baada ya kukamilika kwa Mradi wa barabara.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mwananchi Maria Anthony Tingatinga baada ya kuwahutubia katika kijiji cha Mapili Wilayani Mlele akiwa katika ziara ya Mkoa wa Katavi, Disemba 13, 2022. Katika ni Mbunge wa Jimbo la Katavi Wilaya ya Mlele, Mhandisi Isack Kamwelwe.



Aidha, Mheshimiwa Majaliwa ameutaka uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele uweke utaratibu wa kushirikisha wadau wa sekta binafsi katika kuleta maendeleo kwenye wilaya yao. Pia aliwataka watumishi hao wahakikishe kila kazi wanazozifanya zinakuwa na matokeo chanya kwa jamii.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele  Kijiji cha Mapili alipowasilili kukagua barabara ya lami ya inynga Mapili akiwa kwenye ziara ya Mkoa wa Katavi, Disemba 13, 2022. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buwelu na wa pili kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Hassan Rugwa. 

Awali, Waziri Mkuu alikagua barabara ya lami ya kutoka Inyonga-Mapili yenye urefu wa kilomita 11.7 iliyojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 8.69. Barabara hiyo ni sehemu ya barabara ya Inyonga-Ilunde-Kishelo inayokwenda hadi kwenye mpaka wa Mkoa wa Katavi na Tabora ikiwa na urefu wa kilomita 96.

Barabara ya lami ya Inyonga – Mapili yenye urefu wa kilomita 8.69 ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake  Muonekano wa

Wakizungumza baada ya ukaguzi huo, baadhi ya wakazi wa eneo la Mapili walimshukuru Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo ambayo kukamilika kwake kutaimarisha huduma za usafiri wa watu na mizigo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele akida katika ziara ya Mkoa wa Katavi, 


Mwisho.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MIRADI YA MWENGE 2025

    July 01, 2025
  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa