• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

Waziri wa Ujenzi uchukuzi na Mawasiliano Apongeeza kasi ya maendeleo Wilaya ya Mlele

Posted on: January 3rd, 2019

Mbunge wa jimbo la Katavi ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na Mawsiliano Mheshimiwa Izack Alioce Kamwelwe amepongeza hatua zinazofikiwa na wiliya ya Mlele kimaendeleo wakati akishiriki na wanachi katika shughuli ya kusafisha Eneo inapojengwa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mapema leo asubuhi.

Katika tukio hilo lililoshirikisha wadau wote wa maendeleo wakiwemo viongozi wa wilaya mheshimiwa Kamwelwe akiwa amejivalia nguo rasmi za shamba na akiwa na panga alifanya kazi na wananchi kwa zaidi ya masaa matano  ambapo eneo lenye uwezo kujengwa majengo zaidi 6 imesafishwa na mwisho alizungumza na wananchi.

Akizungumza na wananchi waliojitokeza kuunga mkono juhudi za ujenzi wa Hospitali ya wilaya alisema kuwa kwa sasa watu wamemuelewa kutokana na juhudi zake za kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi ambayo aliinadi wakati wa Kampeni. Mpaka sasa nimekamilisha ilani ya CCM kwa kafanya mabo yote ambayo ilani inaagiza.

Katika ilani aliahidi kufanya kazi ya kuboresha huduma za afya, michezo, barabara, kufufua shirika la ndege na kuboresha kilimo. Vitu ambavyo tayari katika halmashauri hii ameshatekeleza.Katika barabara alitaja barabara mbalimbali ikiwemo barabara inayounganisha Dodoma itigi na Tabora, akataja barabara ya Tabora katavi wastani wa km 260 ambayo amesifia juhudi za mkandarasi wa Mlele ambaye amejenga kwa asilimia 15.9 zaidi ya wakandarasi wengine.

Sambamba na hilo amesema miradi mingi ya maji inakamilika ambapo tayari Tanki la maji kubwa la Inyonga linajengwa ambalo litakuwa na maji mengi sana yatakayofika kila kona ya eneo la Mlele ukiitoa kata ya Ilunde Tu.    Mheshimiwa waziri alisema kwamba kwa upande wa bwawa la Nsenkwa litakuwa na uwezo wa kutoa lita zaidi ya 1 Tirioni huvyo litasaidia sana katika umwagiliaji na baada ya hapo kutajengwa gati kwaajili ya mifugo.

Katika kilimo tayari tumepiga hatua kwenye tumbaku kwa kuunda chama kingine cha tumbaku, hivyo tunainua uzalishaji wa tumbaku na kukuza soko la tumbaku. Mpaka sasa mbolea zimeshafika isipokuwa aina moja ya mbolea bado ni shida laikini nina hakika kila kitu kitaenda sawa.

Katika huduma za afya mheshimwa kamwelwe amsimamia kupata fedha za ujenzi wa hospitali na sasa ambapo ameomba vituo vya afya na vinajengwa sasahivi kama Ilunde ambacho kinajengwa kwa mfumo wa Force Akaunti. Nasasa serikali imetoa fedha Tsh 1.5tirioni kwa ajili ya ujenzi wa hosipatali ya wilaya ambapo kama bahati wilaya imepatiwa hospitali 2 za wilaya yaani Mlele na Mpimbwe.

Mheshimiwa kamwelwe hakuacha nyuma michezo ambapo tayari amehamasisha michezo na tayari wilaya imetoa timu ambayo imechukua kombe la mkoa, hata hivyo alikataa kuwa hajawahi kuahidi kutoa zawadi za kombe la ligi na hivyo wananchi wasidanywe kuwa hakutimiza ahadi hiyo. Amesema ilani inamtaka kuendeleza michezo na sio kutoa zawadi.

Amesema kwa kura za wananchi alizopewa zikampa ushindi wa ubunge zimesababisha amekuwa waziri katika wizara nyingi, hivyo anafanya mambo mengi yakitaifa na anasimamia miradi mingi sana kama vile Stiglas Coach, Standard gauge, na mradi wa ndege saba ambapo mpaka sasa ndege ya sita itatua tarehe 11/1/2019.

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI

    April 03, 2025
  • KIKAO CHA WAMILIKI WA VIWANDA VYA KUCHAKATA UNGA

    March 14, 2025
  • MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA TEA KUKABIDHI MIRADI

    February 22, 2025
  • MSAADA WA MADAWATI 136

    January 30, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa