• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watuishi |
Mlele District Council
Mlele District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi Mkuu
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Maji
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • Ukaribisho
        • Jaribu
        • what we do
        • Huduma ya Maji
        • Huduma za Afya
        • Elimu Msingi
        • Huduma
        • Mwenyekiti wa Halmashauri
        • Mkurugenzi Mtendaji
        • Utawala na Rasilimali watu
        • /TEHAMA-na-Takwimu
        • Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii
        • Mipango takwimu na Ufuatiaji
        • Ardhi na Maliasili
        • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Sheria
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mifugo na Uvuvi
        • Maendeleo ya Jamii
        • Idara
        • Vitengo
        • Ujenzi
        • Maji
        • Ugavi na Manunuzi
        • Usafishaji na Mazingira
        • Uchaguzi
        • Tasaf III
        • Mainstreaming Sustainable Forest Managment in Woodland of Western Tanzania Project
        • Mwenge waUhuru
        • UKIMWI/ VVU
        • Risk Oficer Cordinator
        • Miradi inayoendelea
        • Zabuni
        • Kazi za Idara Utumishi
        • Muundo wa Halmashauri
        • Miradi Lengwa
        • Kitengo cha nyuki
        • Mwenge
        • Sera ya Faragha
        • Kanusho
        • Machapisho
        • Sheria
        • MTF
        • Fomu
        • Orodha ya Madiwani
        • Fedha, Uongozi na Mipango
        • UKIMWI
        • Maji
        • Mipango Miji na Mazingira
        • Uchumi, Afya na Elimu
        • Maadili
        • Ratiba
        • Vikao vya waheshimiwa
        • Kuonana na Mwenyekiti
        • Madiwani
        • Kanausho
        • Huduma ya Maji
        • Huduma ya Afya
        • Huduma ya Kilimo
        • Huduma ya Elimu
        • Huduma ya Ufugaji
        • Huduma za Uvuvi
        • Huduma za Sheria
        • Huduma za kiutumishi
        • Vivutio vya Utalii
        • Kilimo
        • Ufugaji
        • Itakayo tekelezwa
        • Inayoendelea
        • Iliyo Tekelezwa
        • muongozo
        • Sheria Ndogo
        • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
        • Mpango Mkakati
        • Taarifa
        • Fomu Mbalimbali
        • Taarifa kwa Umma
        • Video za shughuli zetu
        • Maktaba ya Picha
        • Magazeti
        • Hotuba
        • ORODHA YA WAJUMBE WA KAMATI MBALIMBALI ZA KUDUMUKWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
        • KARENDA YA VIKAO VYA KISHERIA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLELE KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya
    • Viengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Mahusiano
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Uchaguzi Uchaguzi
      • Kitengo cha nyuki
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Huduma za Kilimo
    • Uvuvi
    • Elimu
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orotha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Mazingira
      • UKIMWI
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa
      • Kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mpango Mkakati
  • Kiini cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Album ya Picha
    • Video
    • Hotuba
  • TASAF

ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

Posted on: June 19th, 2025

ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI KWA MADIWANI, WAKUU WA IDARA NA VITENGO, WATENDAJI WA  KATA NA VIJIJI KATIKA.. MAFUNZO YAMEJIKITA KATIKA SEHEMU KUU MBILI.

  • Namna walivyofanikiwa katika suala la ukusaji wa Mapato na
  • Udhibiti wa Taka ngumu na usafi wa Mazingira.

A: UKUSANYAJI WA MAPATO- Mkuu wa Idara ya Fedha Halmashauri ya Manispaa ya Moshi amesema Halamsahauri imefanikiwa katika suala la ukusanyaji wa Mapato kutoka na mambo yafuatayo-;

  • Wataalamu wote Kushiriki moja kwa moja katika zoezi la kukusanya mapato kwa ushirikiano mkubwa
  • Halmashauri kushirikiana na TRA katika kuhakikisha mapato yote ya Halmashauri na yale yanayokusanywa na CHOMBO hicho yanakusanywa ipasavyo.
  • Ubunifu wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo ambapo Muhasibu amesema  Halmashauri imejiwekea mkakati wa kujenga frame za maduka katikati ya Mji ili iweze kukusanya mapato, lakini ameongeza kuwa katika mwaka unaokuja wa fedha, halmashauri ya Manispaa ya Moshi imetenga fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Ukumbi mkubwa na Hotel  lengo ni kukusanya mapato mengi kwa mwaka.
  • Kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulipa tozo, ushuru , kodi kwa hiari bila kukwepa.
  • Kufanya ufuatiliaji wa mara kwa mara kwa mawakala wenye jukumu la kukusanya ushuru katika mageti.
  • Kuwapatia stahiki watumishi wanaoshiriki moja kwa moja katika zoezi la kukusanya mapato.
  • Semina na Elimu za mara kwa mara kwa Maafisa Hesabu na Biashara kuhusu namna bora ya kubuni na kukusanya mapato bila kugombana na walipa kodi,
  • Pia elimu itolewe kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kumiliki TIN NAMBA ya Biashara na kutoa mwanya kwa mfanyabiashara kupata Leseni kutoka kwa Halmashauri, Manispaa imekuwa ikitumia TIN namba ya Halmashauri ili kumuwezesha mfanyabishara kupata leseni yake kwa wakati,

Pamoja na yote ameeleza pia changamoto zake 

  • Mifumo ya ukusanyaji kusumbua, hasa katika masuala ya mtandao
  • Baadhi ya wafanya biashara kutokuwa na TIN namba
  • Utayari wa kulipa kodi kwa hiari haupo kwa wafanyabiashara

  • Mwisho ameeleza kuwa Halmashauri ya Mji wa Moshi Ina Zaidi ya vyanzo 28 vya mapato ,lakini kubwa katika hizo ni Huduma za Jamii, Leseni za Biashara, Vibanda vya Biashara, Mabango,Maegesho ya Maroli na Stend ya Mabasi ambavyo ndio vyanzo vikubwa vinavyosaidia Halmashauri kukusanya Mapato
  •  

Matangazo

  • TANGAZO KUTOKA TUME HURU YA UCHAGUZI March 03, 2025
  • MABADILIKO YA UKUMBI WA USAILI MLELE DC October 04, 2024
  • Tangazo la Ajira ya ukusanyaji wa Mapato July 01, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA AFYA December 10, 2021
  • Waonaji wote

Habari Mpya

  • SIKU YA WAJANE DUNIANI

    June 23, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UKUSANYAJI WA MAPATO}

    June 19, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO MANISPAA YA MOSHI {UDHIBITI WA TAKA NGUMU}

    June 20, 2025
  • ZIARA YA BALOZI WA BODI YA PAMBA MLELE

    June 18, 2025
  • Waonaji wote

Video

#TBC LIVE ZOOM: YALIYOJIRI NA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI QATAR
Video Zaidi

wavuti za Haraka

  • FACE BOOK PAGE YA MLELE
  • MLELE DC BLOG
  • kilimo na umwagiliaji
  • mafunzo tovuti za serikali kanda ya magharibi
  • MAONESHO
  • Tuma barua pepe hapa

Wavuti Mwambata

  • Wizara ya Utumishi wa Umma
  • Tume ya ajira ya Tanzania
  • Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania
  • Jamhuri ya muungano wa tanzania
  • Tawala za mikoa na Serikali za mitaa
  • BARAZA LA MITIHANI

Takwimu za Watembeleaji

world map hits counter

Hesabu Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

    Anuani ya Posta: S.L.P 686 MPANDA

    Simu: +25525295197

    Simu ya Kiganjani: 0786077372

    Barua pepe: ded@mleledc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki ya @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mlele. Hakizote zimehifadhiwa